Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

As usual you wait and watch what we do and then copy..that’s why we say Bongo is Kenya’s little biatch!…🤣🤣🤣
So, Kenya ndiyo imegundua cruise ship terminal duniani? Box zimekulevya wewe. By the way umebeba box ngapi leo? Je, bei ya box moja imepanda? Je, umetuma remittance leo kwa ndugu zako kule kibera? Jibu maswali haya kabla tuendelee.
 
Hii hapa Diplomasia ya Uchumi Achana na Ruto, Omba omba wa Africa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipiga makofi kuashiria kukubaliana na jambo wakati wa kikao maalum cha kazi kilichoambatana na hafla maalum ya chakula cha jioni kilichoandaliwa na Wawekezaji na Wamiliki Wakubwa wa Kampuni za Korea

1717588452513.png
 
Hii hapa ndio Diplomatic Meeting baina ya Tanzania President na Korea President.
Washamba wa Mama Ngina elimu yao ni duni

Bendera ni kubwa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza ujumbe wa Tanzania kwenye mazungumzo Rasmi na Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe. Yoon Suk Yeol katika Ikulu ya Nchi hiyo iliyopo Seoul tarehe 02 Juni, 2024.
1717588578543.png


1717588597781.png
 
Siwezi tamani nchi ya watu wajinga, ignorant, wenye laana ya mababu inawafata kila kizazi, yani nyie vitukuu mnaishi maisha yale yale ya mababu, ufukara wa kiaina, elimu duni, kukandamizwa, waoga waoga, kha!!! Tanzania ni makazi ya mapepo walai, mnaitaji tambiko la Damu kuu ya Yesu, sio dini wala siasa, mlirogwa nyinyi, Kenya for life.,
Haya jipige kifua na kujimwabify kwa hili andiko lako ukiwa hapo kibera kwenye nyumba ya mabati
 
Jielimishe wewe zezeta., yaani mmedharauliwa mnatumiwa vijakazi wa chini na nyote mmekaa kifala mmekenua meno, minyani ya Tanzania!!!.., taifa dhaifu la kudharauliwa, Mwalimu Nyerere amepinduka kwenye kaburi lake kwa sasa, haamini haya.,
View attachment 3009340
Kwahiyo kijalazi wa chini anatoa 2.5bn dollars ila mkuu wa nchi anatoa 400m dollars we kweli kichekesho naonea huruma sana elimu yenu.
 
Kwahiyo kijalazi wa chini anatoa 2.5bn dollars ila mkuu wa nchi anatoa 400m dollars we kweli kichekesho naonea huruma sana elimu yenu.
Waalimu wa filamu walitoa 2.5 bn dollars eti, maajabu haya, nimepigwa na butwa kaka hehehehe
 
The Ombaomba aka Ruto Tumeishia kumuona kwenye event moja tu nchini Korea (Ya kuomba mchele) 🤣 🤣 🤣 🤣

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Biashara katika Hoteli ya Lotte Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 05 June, 2024
1717589414017.png


1717589347179.png
 
Ruto tumemuona kwenye event moja tu, ya kuomba mchele 🤣🤣🤣🤣


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Jukwaa la Miundombinu baina ya Korea na Afrika ambao umefanyika Westin Josun Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 05 June, 2024

1717589618828.png


1717589638629.png
 
Elimu ya wakenya ni duni ndugu yangu. Ni wa kuwahurumia tu.
Nyie ndio wa kuhurumiwa, ufukara wenu ni wa juu! tazama 2024 mlivyo in GDP-PPP.., ukilinganisha na EAC giant Kenya kwa mjibu wa World economic outlook na IMF., mnahitaji misaada na kusamehewa madeni la sivyo mtakufa nyie..., tofautisha 3,746 na 6,976., = gap ya 3230.,

Note:
Source: International Monetary Fund, World Economic Outlook April 2024. Values are expressed in current international dollars, reflecting the corresponding exchange rates and PPP adjustments.

1717589212966.png

1717589250166.png

1717589271012.png

1717589409261.png

SOURCE:
1717589580171.png
 
Back
Top Bottom