Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dynamic City,
Ukikaa mwezi hujaingia town unapata kumebadilika..
IMG_20240603_165903.jpg
IMG_20240603_125209.jpg
IMG_20240603_125248.jpg
 
Angalia aina ya barabara zilizopo CBD kule Kenya, alafu kama kawaida hawaonagi umuhimu wa drainage, road signs wala markings. No wonder mafuriko huwa yanawaua kila mvua inapotokea 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
IMG_20240603_125209.jpg
 
Hahaha hata hujui simple protocols, next time ukiona Rais kakaa peke yake kwenye hiyo sitting plan ya boardroom na kuna bendera 1 tu ya nchi yake nyuma yake ujue huo ni mkutano wa subordinates wake au juniors na akiwa kwenye official international visit tunasema she hold a meeting on the sidelines of her official visit so technically hiyo ni meeting ilioandaliwa na embassy ya Tanzania nchini Korea, unaonekana kituko and donut unavyolinganisha na presidential bilateral meeting? 🤔😁

View attachment 3009280
Jielimishe wewe zezeta., yaani mmedharauliwa mnatumiwa vijakazi wa chini na nyote mmekaa kifala mmekenua meno, minyani ya Tanzania!!!.., taifa dhaifu la kudharauliwa, Mwalimu Nyerere amepinduka kwenye kaburi lake kwa sasa, haamini haya.,
1717582214627.png
 
Jielimishe wewe zezeta., yaani mmedharauliwa mnatumiwa vijakazi wa chini na nyote mmekaa kifala mmekenua meno, minyani ya Tanzania!!!.., taifa dhaifu la kudharauliwa, Mwalimu Nyerere amepinduka kwenye kaburi lake kwa sasa, haamini haya.,
View attachment 3009340
We all know, Education System of Kenya is very low. Unathibitisha haya yote hapa. Mama Ngina kawaumiza sana wakenya 🤣 🤣 🤣
 
🤣🤣🤣 wewe ndio zuzu kabisa. Baada ya hizi ziara Tanzania imekopeshwa 2.5 billion dollars while kundurenda hamnazo mmepata 400 million dollars 🤣🤣🤣 sasa kuwekwa kwenu kwenye mega na wakorea wengi kuna maana gani.?

Hii ni kama ile case ya juzi kati, ndugu yako aliomba aonyeshwe bendera ya Tanzania mlivyoshiriki huku 👇View attachment 3009289kumbe washindi wa hili shindano ni sisi👇🤣🤣🤣View attachment 3009290..

Wonderful enough unawaita low IQ 🤣🤣🤣
Mipango ya kimkakati, nyie taifa limeuzwa, sasa ni propaganda sijui nini wala nini.., kwa sasa hamna lenyu..., mmedharauliwa sana, not treated as equal partners but omba omba, kuna kitu wamemega tayari hawa waKorea.., minyani nyie hehehehe
 
We all know, Education System of Kenya is very low. Unathibitisha haya yote hapa. Mama Ngina kawaumiza sana wakenya 🤣 🤣 🤣
Another low IQ anatumia nguvu nyingi kunijibu.., boss njoo nikulipie karo, naona wazazi waliuza ng'ombe wakasomesha ng'ombe ingine, fikra duni, kazi ni ubishi tokea January hadi January nyingine.., pumzika angalau, pressure itakuua humu.
 
Back
Top Bottom