Don YF
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 11,111
- 10,547
Fukara anahitaji zaidi dogo.., mko hali maututi, oxygen lazima.,Mazuzu wawili mmekutana 🤣🤣🤣 nataka uniletee ni sh ngapi mmepata kutoka South Korea tangu 2022, .? Kwa mwaka huu pekee Tz imepata 2.5 billion dollars, 2014 Tz ilipata 700 million dollars.. 2020 Tz ilipata tena 300 million dollars. 👇Tanzania, South Korea sign deal over 300 mln USD concessional loans - Xinhua | English.news.cn. jumla ni kama 3.5 billion dollar deals in just 10 years. Nataka kujua mpaka sasa kenya imepata ngapi.? Usisahau kujumuisha na huu msaada wa unga 👇View attachment 3009483🤣🤣🤣