Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama kwenda south Korea kwa Siku 5 ACTL imekula hasara ya millioni ksh 80 or tsh 160,
-je jiulize hasara ya kuegesha dreamliner kwa miezi 8(parking fee)
-Gharama ya loss in revenue
, miezi 8 ndege haijabeba hata mtu mmoja
-Gharama za kununua engine mpya kutoka rolls royce
-Gharama ya kuwalipa mafundi
Mtamlaumu bure CAG
😅😅😅😅😅😅
Dreamliner haidaiwi ni yetu inaweza ikakaa hata miaka 5 hakuna deni lolote litakalo accumulate. Tumeweka Bombardier Dash 8-300 miaka 10 Malta ndio itakuwa Dreamliner miezi 8? Kenya na Tz we are different in many ways usifosi tufanane.
 
Huyu hata statehouse hakuruhusiwa entrance, kaishia kukutana na katibu kata wa Seoul na kukabithiwa small humanitarian aid, na walivyokua wakijitapa

View attachment 3009103

View: https://x.com/StateHouseKenya/status/1798011851982430586?t=1HDSpC8QlX8iiVdIaDyZQQ&s=19

Kuna kile kijamaa kilisema kwamba wao ndio wamba na watatoka na deals za maana kuliko alizotokanazo mama 🤣🤣🤣.. tag then please. Wameishia kupata 400 million dollars, akati mama katoka na 2.5 billion dollars.
 
Pesa za ndani 😅😅😅😅😅
IMG_20240605_101425.jpg
 
Kuna kile kijamaa kilisema kwamba wao ndio wamba na watatoka na deals za maana kuliko alizotokanazo mama 🤣🤣🤣.. tag then please. Wameishia kupata 400 million dollars, akati mama katoka na 2.5 billion dollars.
😁😁😁 Halafu hizo 2.5b ni real sio kama zile za maruhani za Biden 😂😂 anakusainisha milima ya makaratasi just for PR anakudanganya ni multi-billion deals kumbe ni memorandum of understandings 🤣
 
Dreamliner haidaiwi ni yetu inaweza ikakaa hata miaka 5 hakuna deni lolote litakalo accumulate. Tumeweka Bombardier Dash 8-300 miaka 10 Malta ndio itakuwa Dreamliner miezi 8? Kenya na Tz we are different in many ways usifosi tufanane.
Elimu ya uswazistan ni ya kuchekwa,
Nenda kasome kuhusu loss of revenue na breaking even point.
Hio ndege ilinunuliwa kwa pesa ($245m) ambayo inatakikana ijirudishe,
Sasa hivi dreamliner haliruki angani, ACTL inakosa revenue ya Ku-break even hio ndege., Ndege limegeuka white elephant
😅😅😅😅😅
 
Kuna kile kijamaa kilisema kwamba wao ndio wamba na watatoka na deals za maana kuliko alizotokanazo mama 🤣🤣🤣.. tag then please. Wameishia kupata 400 million dollars, akati mama katoka na 2.5 billion dollars.
Halafu strategic partnership na South Korea ni nchi 3 tuu hapa Africa Tanzania, South Africa na Nigeria.
Lazima uoneshe hata wao Korea watafaidika na nini kwako.
Sisi tumewapa order kubwa ya trains za SGR wewe hujatoa kitu unataka kwenda na bakuli kubwa 🤣🤣🤣
Kila mtu akale alipopeleka mboga 😁
 
Elimu ya uswazistan ni ya kuchekwa,
Nenda kasome kuhusu loss of revenue na breaking even point.
Hio ndege ilinunuliwa kwa pesa ($245m) ambayo inatakikana ijirudishe,
Sasa hivi dreamliner haliruki angani, ACTL inakosa revenue ya Ku-break even hio ndege., Ndege limegeuka white elephant
😅😅😅😅😅
Nyie wapumbavu mbona hamjielewi? Sisi tulishasema toka zamani ATCL ni kutoa huduma ili ilete multiplier effect kwenye sector nyingine za uchumi hatutegemei tupate faida kwa airline na hii ilishawahi kuwa discussed extensively bungeni kuwa hatuangalii faida bali tunajikita kwenye kutoa huduma kwa hiyo ni huduma tuu kama huduma nyingine.
KQ mkisubiri faida mtasubiri sana.
 
Back
Top Bottom