O
Ongea uko huru.Tukiaanza kuongelea waarabu walivyoishika uswazistan utakimbia hapa jukwaani.
Ongea uko huru.Tukiaanza kuongelea waarabu walivyoishika uswazistan utakimbia hapa jukwaani.
Sijaona nyumba ya bati full suti hata moja 😁Kama hiyo picha ni kituko hizi tutasemaje?View attachment 3007871View attachment 3007872
Ukiondoa investments za foreigners hapo kenya, hakuna kitu chenye wanaweza kutaja ili kushindana nasi.Wanakagua mali zao. Hao nyangau kila kitu kinamilikiwa na foreigners kama sio mama.
Kila gati 300m anamaanisha. Kwani meli huwa na urefu gani? Most of them 150, 190 230m around hizo figures.Gati 5 zenye uteri wa 300m? Mbona ndogo?
Ingekuwa bora kariakoo na posta iwe green kabisa ama watumie EV kama mode of transport.Sasahiv ni hatari sana kitembea kwa miguu in kariakoo na baadhi ya mitaa ndani ya posta, boda boda kiukweli zipigwe ban kufika town
hehehe,,,,kanyaga shingo bado anapumuaUnaficha nini mzee 😅😅😅View attachment 3007648
Kwani this time amekuja na bakuli dogo ama? 🤣🤣🤣Na bado. Ngoja aanze mikutano hapo kesho ndio ujue tofauti ya Kenya na LDC kama Tanzania.
Mzee wa copy and paste.Bongolala, a contractor is simply a firm or person that provides materials and/or labour to perform a specific construction work. Contractors are not necessarily engineers
Huwa wanafosi tufanane, kanchi kao hakana uwezo hata wa kujenga kitu kidogo tu kama uwanja kwa pesa za ndani.Wapi wamesema imekuwa funded ya Chinese?
Sijui kama umeielewa ile post uliyoweka... Hebu iandike hapa kwa Kiswahili vile umeielewa... Ukishindwa iweke kwa kijaluo halafu useme ni wapi mchina katoa mkopo... Na ni mkopo wa sh ngapi na kutoka taasisi gani huko China
Wacha utoto.
Nadhani hivyo aisee!Kila gati 300m anamaanisha. Kwani meli huwa na urefu gani? Most of them 150, 190 230m around hizo figures.
Mna kiwanda cha kujenga magari huko kwenu siku hizi? Kwamba Isuzu wamefungua kiwanda Kenya etii?Fire truck built in Kenya by LSHSView attachment 3007637View attachment 3007636
Feb 16, 2023. Jifunze kusoma taarifa vzr.Currently MV magogoni is in Mombasa for repairs because there's no facility in dar slum...
View attachment 3007644
Kila gati 300m anamaanisha. Kwani meli huwa na urefu gani? Most of them 150, 190 230m around hizo figures.