Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

It's not a comeback. Ni somo. Una mazoea ya kujiweka kwa discussions wakati hakuna unachoelewa. Umeambiwa Kenyan architects and engineers work in Tanzania wewe unadhani wanajenga. Sasa kama huelewi kazi ya engineer ni nini utawezaje kujadiliana kwa mjadala kama huu?

Ni kama upate watu wanapingana kati ya Messi na Ronaldo nani mkali. Wewe humjui Messi humjui Ronaldo ila unang'ang'ania kuwa involved kwa argument sasa unabakia ukisema ''Messi dunks better than Ronaldo''. 🤣 🤣 🤣
 
Hii ni baada ya kula za uso.? Unaruka ruka tu kuhamisha mada. 🤣🤣🤣
 
Come back yako ni kunitofautishia maana ya terminology engineering.? 🤣🤣 ulielewa swali we mnuka mavi wa kike ?
Kuna majengo in Tanzania yamejengwa na Kenyans.? Mradi wowote tu, hata nyumba ya mtu binafsi.? 🤣🤣🤣
Wewe hujui kazi ya engineer ni gani. Labda huko kwenu Tanganyika ndio engineers hufanya kazi ya ujenzi
 
1717418306231.png

Tunajenga kwa hela zetu sie.. This is the DSSHS to be built in Arusha
 
Nakwambia humu tunajadiliana na wendazimu. Eti all contractors are engineers.
Wewe mwenye elimu duni unaweza kujadiliana na mimi? Hapa tunaongea wenye akili tu. In engineering we have (civil, mechanical, electrical, etc.)
Hebu tuambie huko kwenu Kenya; Contractors wanasoma nini? 🤣 🤣 🤣
 
Yani unaona hiyo sentence Iko na shida yoyote? Hebu tueleze iko na shida gani
Huyo mjinga amenikumbusha hii quote ya Abraham Lincoln wa Marekani inaenda hivi.

''Better to remain silent and be thought a fool than to speak and remove all doubt.''

🤣 🤣 🤣
 
Wewe hujui kazi ya engineer ni gani. Labda huko kwenu Tanganyika ndio engineers hufanya kazi ya ujenzi
Nyie Kenya endeleeni na kingereza tu. Mambo ya Science hamuyawezi. 🤣 🤣 🤣 🤣 Tuambie Course gani Contractors wanasoma huko Kenya?
 
Nyie Kenya endeleeni na kingereza tu. Mambo ya Science hamuyawezi. 🤣 🤣 🤣 🤣 Tuambie Course gani Contractors wanasoma huko Kenya?
There is no course called ''contractor''. Contractor ni mfanyabiashara. Huhitaji kwenda shule kusoma ndio uwe mfanya biashara. Mtu yeyote anaweza akawa contractor bila kusomea kazi yoyote. Narudia, kama hamuelewi kitu, msijiingize kwa mijadala juu ya hicho kitu. Mnajiaibisha na kunyesha ujinga wenu.
 
Wewe mwenye elimu duni unaweza kujadiliana na mimi? Hapa tunaongea wenye akili tu. In engineering we have (civil, mechanical, electrical, etc.)
Hebu tuambie huko kwenu Kenya; Contractors wanasoma nini? 🤣 🤣 🤣
Bongolala, a contractor is simply a firm or person that provides materials and/or labour to perform a specific construction work. Contractors are not necessarily engineers
 
Wewe hujui kazi ya engineer ni gani. Labda huko kwenu Tanganyika ndio engineers hufanya kazi ya ujenzi
Kumbe wakenya wote ni vilaza kuanzia wewe na hawa mbwa Rhaenyra Targaryen na hii mbuzi NairobiWalker 🤣🤣🤣 imejazana kupiga kelele kwamba engineers ain't builders 🤣🤣🤣 na hapa ndio tutapata kuona elimu ya jirani ilivyoduni, nimekua mvumilivu kidogo kuhimili matusi yao ili niwakamate wote kwa pamoja.. vilaza wakubwa nyie. Haya ruduni shule sasa 👇
Screenshot_20240603_154420_Google.jpg
.. huku bongo for instance hao fundi katibu wengi nowadays (wanaojenga majumba ya kwenda) wamesoma civil engineering kwenye vyuo vya ufundi VETA na ndio mana kazi zao ni nzuri..

So yes engineers are builders.
 
There is no course called ''contractor''. Contractor ni mfanyabiashara. Huhitaji kwenda shule kusoma ndio uwe mfanya biashara. Mtu yeyote anaweza akawa contractor bila kusomea kazi yoyote. Narudia, kama hamuelewi kitu, msijiingize kwa mijadala juu ya hicho kitu. Mnajiaibisha na kunyesha ujinga wenu.
Ndio maana majengo yenu yanadondoka kila kukicha. 🤣 🤣 🤣 🤣 Tatizo limeanzia hapa
 
Back
Top Bottom