Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂

View: https://x.com/goddie_ke/status/1797693999656108204?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
IMG_6331.jpeg
 
Hiyo shule yenye nyinyi mmeenda mbona mnasumbuka kuleta meli zenu Kenya kufanyiwa service Kwa wenye low level education?
Wewe hujui biashara ya ushindani na soko huru?
Choice ya kupeleka meli kukarabatiwa ina depend na quoted costs, timeline ya matengenezo sasa kama Songoro marine ana kazi nyingi unataka tupeleke wapi hivyo vikazi vidogo vidogo?
Songoro anaumda Azam marine meli kubwa itakayokuwa inaenda Comoro, pia ana boti nyingi zinazoundwa kwa yard yake asingeweza kupokea order ndogo ndogo za service.
 
Tanzania sio Kenya sisi tunajitambua iliyouzwa ni Kenya.
Rais wenu kupanda ndege ya mwarabu huku akilipiwa na mwarabu gharama bado uko hapo kibera unakenua meno hujui kama nchi imeshauzwa pamoja na wewe ndani 🤣🤣🤣🤣
Tukiaanza kuongelea waarabu walivyoishika uswazistan utakimbia hapa jukwaani.
 
Kandarasi yenyewe yasema china kafund mradi huo wa dr samia stadium wewe unakuja na ujuaji mwingi unapinga hata nakuletea hizo evidence unadinda unapinga..
Kwanza uwanja wa mkapa ulifundiwa na mchina na huu wa dr samia pia kuna pesa ya mchina hapo hata ukipinga
Underline hilo neno china funds huu mradi tuone, maneno mengi ya nini we kilaza?
 
Back
Top Bottom