Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Nini kimebadilika ndani ya hizo miaka tisa? Hebu tuletee aerial view ya hilo eneo ya 2024 tuone mabadiliko yaliyofanyikaPicha ya 2015. More than 9 years ago. 🤣 🤣 🤣 🤣
Nini kimebadilika ndani ya hizo miaka tisa? Hebu tuletee aerial view ya hilo eneo ya 2024 tuone mabadiliko yaliyofanyikaPicha ya 2015. More than 9 years ago. 🤣 🤣 🤣 🤣
Nyumba more 90% zimevunjwa na kujengwa nyumba za kisasa. Huamini?Nini kimebadilika ndani ya hizo miaka tisa? Hebu tuletee aerial view ya hilo eneo ya 2024 tuone mabadiliko yaliyofanyika
Hebu leta taarifa kwamba sababu kuu ya hizo meli kuja Mombasa Kwa ukarabati ni kutokana na msongamano sangoro marineWewe hujui biashara ya ushindani na soko huru?
Choice ya kupeleka meli kukarabatiwa ina depend na quoted costs, timeline ya matengenezo sasa kama Songoro marine ana kazi nyingi unataka tupeleke wapi hivyo vikazi vidogo vidogo?
Songoro anaumda Azam marine meli kubwa itakayokuwa inaenda Comoro, pia ana boti nyingi zinazoundwa kwa yard yake asingeweza kupokea order ndogo ndogo za service.
Kwani this time amekuja na bakuli dogo ama? 🤣🤣🤣
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1797861251466559834?s=19
Nimesema ulete current aerial view tuone. Maneno za kutoa akilini peleka Tandale kwa mfuga mbwaNyumba more 90% zimevunjwa na kujengwa nyumba za kisasa. Huamini?
Jumamosi nitakuletea. Nitaenda kupiga mimi mwenyewe. Au hutaki?Nimesema ulete current aerial view tuone. Maneno za kutoa akilini peleka Tandale kwa mfuga mbwa
Hawa pia wanapita ndani ya vichorochoro za uswazi kila siku 😂Leo kazi yangu ni kuonesha utamu wa Dar tu. Wenyewivu wajinyonge
View attachment 3008204
View attachment 3008208
Sasa tangu lini picha za Google Earth zikawa za miaka ya nyuma? Bongolalas lakini!View attachment 3007940
Ni mgeni kwenye huu uzi,waulize wenzako madhara ys kupost vipicha vya miaka ya nyuma ya dar
Nitakuwa hapa bongolala. Picha za juu tuone hizo nyumba mpya mmjengaJumamosi nitakuletea. Nitaenda kupiga mimi mwenyewe. Au hutaki?
Kundustan Mkopo Wetu una sura hii,wa kwenu ukoje? 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/C7yjTgGM-L-/?igsh=djVxOTFrbXJteTJl
Haya KAZI imeanza tena 😂😂😂😂😂
Ruto alikopa 250b ksh kupunguza makalio ya dollar haya kiko wapi??? Hela zote zimekwenda na maji na alionywa Sana na wachumi
From 133.6 to 138 again 👇👇👇
View: https://x.com/TheStarKenya/status/1797865708421865560?t=gD4Lv_AqCkHfnaMxxRAoeQ&s=19
Kwani hiyo ni Bure? Ukisema wanamdanganya wewe weka ukweli.Riba 0.01% ??
Waache kudanganya, na hakuna kitu cha bure duniani
Je, umekubadili nikuletee jumamosi? Maana naona unazunguka tu kama pia.Nitakuwa hapa bongolala. Picha za juu tuone hizo nyumba mpya mmjenga
Hawa ndio waswazi wenyewe. Au unakataa?Hawa pia wanapita ndani ya vichorochoro za uswazi kila siku 😂
Unaongea ujinga na siku mbili hazijaisha tangu muuze port yenu Kwa miaka 30Ukiondoa investments za foreigners hapo kenya, hakuna kitu chenye wanaweza kutaja ili kushindana nasi.
I have said I will be here kilaza wa bongo. Ni nini haujaelw hapo?Je, umekubadili nikuletee jumamosi? Maana naona unazunguka tu kama pia.
Unafikiri Mimi ni kilaza kama wewe? Can you cite that text uniambie nimeicopypaste from which website?Mzee wa copy and paste.