Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

20240603_210750.jpg
 
Shida elimu yao mkuu na mazoea ya huko kwao kila mradi mkopo au msaada hakuna kitu serikali inaweza fanya kwasababu iko broke. Wasitake tufanane.

Jamaa ni fala sana huyo..

Anaona kandarasi imetangazwa na gharama yake sasa analeta habari za mkopo hapa... Atuambie ya talaka stadia wali sign vipi?

Malobabrian endelea kujifunza pole pole.. Usibwatuke bwatuke tu kama bomu la machozi.. Utakosa ndoa uzeekee nyumbani.
 
Back
Top Bottom