President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,370
Ukitaka kuwajua kuwa elimu yao ni duni. Hebu nenda kwenye mitandao ya kijamii uwaone wanachojadiliana. Ni upuuzi mtupu na kutafuta recognition by doing nothing. Wakenya Mzungu aliwafanya vibaya sana.Fact. 👌