Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kq inamiliki ndege ngapi so far??😅😅😅

Ngoja nikupe list vzr na ukitaka evidence ntakupa

20 aircrafts mumekodi
17 aircrafts ni loan za bank kutoka nje
3 aircrafts owned by KQ

Jumla zilikua 40, hvi SASA zimebaki 36 ambayo katika zile munazo miliki kuna moja ishakua grounded kabisa ndio Ile muliwapa shule,

Hvi SASA out of 20 leased aircrafts zimebaki 16 maana yake 4 mumezirudisha

Alaf kuna zile za bank loan kutoka foreign banks kuna zingine ziko parked sijui zimekufa na ukumbuke katika hasara moja wapi za Kq zinachanguwa na vitu viwili moja ni leased aircrafts na nyingine ni mikopo ya foreigns banks ambazo interest ni kubwa na sometimes munachapwa penalties zakutosha

View attachment 2995744
Sasa wapi hapo pameandikwa tumekodi na wapi pameandikwa ni loan? Wewe myemeni utadeportiwa juu wa wendazimu. 🤣 🤣 🤣
 
Sasa wapi hapo pameandikwa tumekodi na wapi pameandikwa ni loan? Wewe myemeni utadeportiwa juu wa wendazimu. 🤣 🤣 🤣
Kuna Neno limeandikwa lsd Angalia vzr kwenye remarks kirefu chake ni leased 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kuna zingine zimeandikwa skyteam pia ni leased

Screenshots_2024-05-21-09-51-35.png
 
Dreamliner zetu ziko 14 years old. It is expected. Hata gari ukiwa nalo kwa hiyo miaka kuna vitu utareplace. Hizo zenu mnachocha eti mpya na zimeshakwama hata mbele ya zetu za kitambo. 🤣 🤣
Tatizo la engines limeanza hvi karibuni ndio maana hata nyinyi limewakumba mbona hujiulizi kwann Huko nyuma halikutokea kwann liwatokee SASA hvi 🤣🤣🤣🤣🤣

Tumia akili uliobarikiwa kufikiri

View: https://twitter.com/SymKur/status/1102596397793193985?t=z4kDKK6EUQYZq3cI02YTXg&s=19
 
Shida ya uongo mtu husahau alichodanganya hadi anajikanganya. Kuna siku umesema humu wewe ni IT specialist, sahii ushakua gwiji wa IR. Kawadanganye bongolala wenzako.
Umeanza kuniogopa siyo. Tanzania tunasoma multiple issues mzee. Also IT people wanasoma everything. I mean everything. IT is Information Technology Kila kitu kinachohusu Information sisi tunasoma.

Mfano unataka kutengeneza Software inayohusu Laws. As ICT personnel, I must learn Laws and know how they operate ndio niweze kutengeneza best Law Software.

Kwahiyo mzee, mimi kusoma IR isikutie wasiwasi. Nimebobea katika issue hiyo.

Asante kwa kujaribu.
 
Ni faida gani usome vitu nyingi afu hakuna ulichoelewa? Inaitwa Jack of all treads, master of none. Ni heri usome kitu kimoja na ukielewa.
 
Kila Mkenya anajua hizo ndege leased zimekuwa leased from Kenyatta Family. Usikwepe swali nililokuuliza, hiyo information ya loan umetoa wapi?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 and yet zipo owned by Turkish air and Oman air
 
Kila Mkenya anajua hizo ndege leased zimekuwa leased from Kenyatta Family. Usikwepe swali nililokuuliza, hiyo information ya loan umetoa wapi?
SASA kwenye akili yako Kwanzia Leo ujue kabisa kq inamiliki ndege 2 chakavu pamoja na Ile muliotoa sadaka kwenye shule Huko murangaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sio Sisi watengezaji wa engine, na ukitaka kuamini subiri tuone hzo 2 leased dreamliners zitakaa muda gani😅😅😅😅
Mmeanza hii biashara juzi, wacheni tuwaonyeshe. Nakuhakikishia hiyo ATCL lazima ianguke ianze upya maanake mnavyoiendesha mnadhani ni zile basi za sijui Shabiby.
 
Mmeanza hii biashara juzi, wacheni tuwaonyeshe. Nakuhakikishia hiyo ATCL lazima ianguke ianze upya maanake mnavyoiendesha mnadhani ni zile basi za sijui Shabiby.
Tumeanza juzi na ndege ya 17 iko njiani inakuja dreamliner🤣🤣🤣👇👇👇👇👇 fully owned by government of Tanzania

FB_IMG_1716066437990.jpg
 
Back
Top Bottom