Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Narudia kukwambia tena hii ni 40yrs stadium lakini angalia vile bado ni mzuri na unatumika mpaka Kesho 🤣🤣🤣🤣
Nyayo is also 40 years old. Angalia vile inakaa.
GLRdmEIWIAEBlew

Ona viti
ifgcxevajgdmxcjk65f70bc0251457.jpg
 
Nyayo is also 40 years old. Angalia vile inakaa.
GLRdmEIWIAEBlew

Ona viti
ifgcxevajgdmxcjk65f70bc0251457.jpg
Nyayo imefanyiwa huge renovation just 2 yrs ago ika fail CAF standard SASA wanafanya second renovations ili iwe approved na CHAN baada ya watu Kula pesa unafkiri hatujui 🤣🤣🤣🤣🤣. Unafananisha CCM kirumba haijawah hata kufanyiwa renovation 40yrs ago na bado unatumika mpaka Kesho na uko kwenye Hali nzuri

Yani mm hata Sioni unachotaka tubishane hapa CCM kirumba still bado inatumika na iko kwenye Hali nzuri na yet haijawah fanyiwa renovation ya Aina yoyote
 
Hivi nani kakataza serikali yenu kufanya rennovation? Si huwa mnajipiga vifua eti mnajua maintenance ya infrastructure. 🤣 🤣
 
Unauliza swali la kijinga sana. Hivi nikuulize, Tanzania iko na viwanja vingapi vya mpira? Je, zote zimehidhishwa kuandaa mechi za kimataifa zinayohusisha timu yenu ya taifa? Niletee picha za Taifa Stars ikicheza mechi zake za kimataifa CCM Kirumba. Tanzania nzima ni viwanja viwili au vitatu viko na approval, lakini wewe kilaza unatarajia viwanja zote za Kenya view na approval. Si unaona huu ni utaahira!!

Wachene kushikwa na gadhabu na chuki za kijinga. Ukweli ni kwamba, tuko na viwanja vingi, Tena nzuri kuwaliko.
We nawe vipi, umeona sisi tukiwalalamikia CAF approval? Kwani hujaona humu tukisema wavifanyie renovation?

Shida nyie kelele kuanzia ulinzi, na kila stadium mnayoweka.
 
Hivi nani kakataza serikali yenu kufanya rennovation? Si huwa mnajipiga vifua eti mnajua maintenance ya infrastructure. 🤣 🤣
Tutafanya kwa muda wetu Sisi so far we have 3 modern approved CAF standards nyinyi munazo ngap??🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Yani ww utupangie Sisi nini cha kufanya wakat we have 3 modern approved stadium nyinyi hamuna hata ya kusingiziwa,
 
I don't care mnavyofikiri, ila mimi nilitaka fleet nzima kama 80% ingekua cargo, kushare mizigo na Bandari.

Abiria ndege za wengine zipo, ilitakiwa tuwekeze Cargo tu.
Cargo is good business hakuna MTU amekataa lakini fikiria kwamba by 2025 unahitaji watalii 5m ni lazma uwe na ndege ambazo ni direct flight kufata hao watalii popote walipo bro, Yani Tanzania ikiwa kutumia utalii by 100% basi economy yetu 45% inaeza kuendeshwa na utalii alone
 
Sawa mkuu, just niliona tuchukue comparative advantage, category yetu flani hivi ukiona Air Tanzania unajua ni Cargo.

Zaabiria ndio hivyo shirika.linazitumia zinavyotaka kama hawajali vile, cargo huenda ingesaidia kipindi hiki kuamka.

Tukipata mtu serious abiria ziendelee.

Ni maoni yangu tu.
 
Back
Top Bottom