Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You'd have a hard time telling a Tanzanian that this is a three-level interchange. Mazuzu wa kupindukiaView attachment 2993847
Huko tulishatoka mzee. This is old news. Jipange uje upya.
Tanzanians are not talking about issues of building bridges and roads, these are issues of poor countries like Kenya. We in Tanzania are talking about mega projects
 
FB_IMG_1716116254169.jpg
 
Hatufanyi renovation ya pili. It's a contuning thing. It was being done in phases. Kama ni renovation ya pili, hebu niletee taarifa ya source ya pesa inayofanya hiyo renovation ya pili
Wewe akili yako inachenga, mulifanya renovation two years ago wakaja CAF kufanya ukaguzi muka feli SASA munaenda another renovation baada ya kupewa maelezo tena na ushahidi ninao 🤣🤣🤣🤣

Kubali kataa watu wamekula pesa za renovation 😂😂😂😂😂😂
 
Kweli kabisa hii ni dream house😂😂😂🤣🤣
Standards za kitanganyika bana!
Huyo ni very ordinary individual anajenga, Kundustan hakuna anseweza maana hata Ardhi tuu hamna yote wamejimilikisha kina Kenyatta 😀😀
 
Back
Top Bottom