Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ivi kuna haja kweli ya kubishana na wakunya about Domestic football si ni kujidhalilisha?

Tumewekewa viwanja kama vyote ila timu ipo huko kwa Malawi. Kisingizio cha renovation, kwa hiyo ULINZI, na hiyo takataka ya 3000 capacity nazo zipo kwenye renovation?

Ukisoma history ya wachezaji wao waliolipwa mishahara mikubwa ligi yao unaweza kusanya yote ukampelekea KI AZIZ au Chama hata Ayoub Lakred wakasafisha na chenji ikabaki?

Imagine beki lao la timu ya Taifa anaenda NAMUNGO?
 
Mbona hii sijaona kupost ChoiceVariable
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Imekugusa au

View: https://twitter.com/Nipashetz/status/1792103747969077451?t=3Beg03SHTmTC0BR9jFRRAA&s=19

Mambo ya kijinga Huwa si post Bali vitu vya maendeleo vyenye Tija kama hivi 👇
20240515_181504.jpg
20240422_214620.jpg
20240422_214617.jpg
20240326_112000.jpg
 
Kwa sasa Macho yetu kweye sector ya utalii tumeyaelekeza China.

Timu ya Tanzania ndani ya Jiji la Shanghai katika ufunguzi wa RoadShow. Ufunguzi Wa Road Show kupitia Mawakala Wakubwa wa Utalii wenye Makao Makuu katika Jiji la Shanghai China. Leo Tarehe 19/05/2024 katika Hoteli ya JIN JIANG TOWER iliyopo Jijini Shanghai.

1716110038525.png

1716110058451.png

1716110080070.png

1716110106217.png
 
Mambo ya kijinga Huwa si post Bali vitu vya maendeleo vyenye Tija kama hivi 👇View attachment 2993792View attachment 2993795View attachment 2993796View attachment 2993797
Mambo ya kijinga Huwa si post Bali vitu vya maendeleo vyenye Tija kama hivi 👇View attachment 2993792View attachment 2993795View attachment 2993796View attachment 2993797
Kwann hii hujapost Kwan kuzuia ushoga ni Jambo la kijinga ??🤣🤣🤣🤣 Au umeguswa

View: https://twitter.com/Nipashetz/status/1792103747969077451?t=HTl_TQKmbc554qHRZPYGRQ&s=19
 
Ivi kuna haja kweli ya kubishana na wakunya about Domestic football si ni kujidhalilisha?

Tumewekewa viwanja kama vyote ila timu ipo huko kwa Malawi. Kisingizio cha renovation, kwa hiyo ULINZI, na hiyo takataka ya 3000 capacity nazo zipo kwenye renovation?

Ukisoma history ya wachezaji wao waliolipwa mishahara mikubwa ligi yao unaweza kusanya yote ukampelekea KI AZIZ au Chama hata Ayoub Lakred wakasafisha na chenji ikabaki?

Imagine beki lao la timu ya Taifa anaenda NAMUNGO?
Unauliza swali la kijinga sana. Hivi nikuulize, Tanzania iko na viwanja vingapi vya mpira? Je, zote zimehidhishwa kuandaa mechi za kimataifa zinayohusisha timu yenu ya taifa? Niletee picha za Taifa Stars ikicheza mechi zake za kimataifa CCM Kirumba. Tanzania nzima ni viwanja viwili au vitatu viko na approval, lakini wewe kilaza unatarajia viwanja zote za Kenya view na approval. Si unaona huu ni utaahira!!

Wachene kushikwa na gadhabu na chuki za kijinga. Ukweli ni kwamba, tuko na viwanja vingi, Tena nzuri kuwaliko.
 
Back
Top Bottom