Issue ni Viwanja vilikuepo Tz , I mean regional stadium zilikuepo na zipo long before KE kuwa na stadiums , sema hizi zilijengwa kipindi cha 1970s to 80s , Kipindi hicho serikali ilikuwa chini ya TANU ambapo viwanja hivyo ndo vilikuwa vinamilikiwa in reality hizi stadium sio za CCM ( formely TANU) . Kipindi hicho KE you couldnt dream to have any stadium . So unachoona mnafanya Kenya we did TZ long before, ni kwa vile stadium zilikuwa transfered to CCM, so the goverment haina say nazo wala haiwezi ikaanza ku rennovate , hiyo ni decsion ya CCM. Na ndo maana unaona vimechoka .Stadium hizo ni
1. CCM Kirumba Mwanza 35k
2. Shekih Abeid Arusha 20k
3.Jamuhuri Stadium Dodoma 10k
4. Sokoine Stadium Mbeyan10k
5. Ali Hassan Mwinyi Tabora 20k
6. Kambarage Stadium Shinyanga 30k
7. Kaitaba Stadium Bukoba 5k
8 . Mkwakwani Stadium Tanga 15k
9. Jamuhuri Morogoro 10k
10. Nagwada Sijaona Mtwara 15k
11. Lake Tangayika Stadium Kigoma
12, Uhuru stadium Dar 23k
13. Samora stadium Iringa
14. Maji Maji stadium Songea 30k
So kiukweli goverment of TZ should not look to build many stadiums kila region inazo , cha maana ivitoe CCM then ivi renovate we are good to go, maana CCM has failed to maintain them