Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni mgeni kwenye hii battle.? Haya tumia Google kutafuta CCM stadiums, they all around Tz.
Sasa huu uwanja ndio unataka kulinganisha na Bukhungu? 🤣 🤣 🤣
Alafu nimeuliza 4, unanipa uwanja mmoja ambao umekuwa laughing stock kwa hii thread for sometime. Finaly, uwanja wenyewe haukujengwa 1970s bali 1980s.
img-621f82a04042e.jpg
 
This is exactly the level of the stadiums you're building in Kenya miaka hii ya 2020's. Now you can get the picture vile jinsi mko nyuma yetu for at least 50 years. 🤣🤣🤣🤣
 
Ndio maana wengi wanakuita mwendawazimu hata hawataki kujadiliana nawewe. Huu upumbavu ulinganishe na Bukhungu kichwa chako kiko sawa?
6Aww0fcx8zgJYVtNChLLgd28tsxr9lshyz6_zYhnOX83USg_aXH-7OyyuVicZpY4QFmePK5b0fhjoF25u88LLHgdpYWMZp6gaEYj9JbuHw=s750
E0OsBvUXEAM46lO
DMUFdSNWsAAdD3N
DPpG-TYX0AA0g7V

DKpot5jWkAEoiUJ
 
Tofauti ni hayo mabango yaliyozunguka kiwanja. 🤣 🤣 🤣
Mvulana wa chumba cha kuhara, chunga usichizi, huenda ukarudishwa kwenu Yemen na serikali ya Samia Suluhu. Huwezi kuwa mwendazimu kwa nchi ya watu.
Angalia pitch alaf unambie iko sawa 🤣🤣🤣

Uwanja Una 40yrs ago unafananisha na bukhungu ambayo mpaka Leo haujakamilika na bado pesa zimeliwa kibao, nimeona running track ya udongo 🤣🤣🤣
 
Uwanja gani unafanyiwa renovation toka 2013 na nimeskia CHAN wameukataa🤣🤣🤣

Hakuna kitu kinafanya vzr kwenu muko fake always 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Shida yako ni low IQ. Hakuna rennovation ishawai fanyika Bukhungu, ni ujenzi unaofanywa na phases. 2014 phase 1 ya uwanja ilianza. Ikakamilika 2015. 2021, phase 2 ya Uwanja ikaanza, ikasimamishwa briefly ili uwanja uhost michezo ya shule za sekondari Afrika Mashariki mwaka wa 2023. Late 2023 ndio phase tu imepick na uwanja unatarajiwa kukamilika 2025. Meanwhile tupe updates za Arusha stadium.
 
Angalia pitch alaf unambie iko sawa 🤣🤣🤣

Uwanja Una 40yrs ago unafananisha na bukhungu ambayo mpaka Leo haujakamilika na bado pesa zimeliwa kibao, nimeona running track ya udongo 🤣🤣🤣
Hivi pitchpekee ndio unaangalia? Sisi tunaongelea structure wewe uko kwa pitch, pitch ni kitu kinachoweza kutengenezwa hata kwa boma la mtu within 3 months. Huo uwanja ni zizi la ngómbe. Kubalini hamna stadiums. Mwengine huu.

sokoine-stadium.jpg
 
Kwani hujui KAZI ya pitch ni nn au Umeumia kwa vile nimekuletea video live na mechi imechezwa juzi 🤣🤣🤣🤣 40yrs stadium inakutoa kamasi bado

Alaf kitu hujui ni CCM kirumba stadium mwanza inachukua watu 35,000 tafuta stadium inachukua watu wengi kama hao nje ya Ile gofu kasarani 🤣🤣🤣🤣🤣

Naomba nikuoneshe video tena plz👇👇

View: https://twitter.com/azamtvtz/status/1791865749356589342?t=ytBeSHbGUH9QuFHxrsMH3A&s=19
 
Hiyo stadium hamna tofauti. Pitch kunyunyiziwa maji na kuweka bango ndio unaita tofauti? Hujui hiyo pitch miaka ya 1980s kuna seasons ilinyunyiziwa maji na ikawa hivo? Wacha kutetea visivyo teteeka. Hiyo stadium ni uchwara, Jengeni stadiums.
 
Ndio maana wengi wanakuita mwendawazimu hata hawataki kujadiliana nawewe. Huu upumbavu ulinganishe na Bukhungu kichwa chako kiko sawa?
6Aww0fcx8zgJYVtNChLLgd28tsxr9lshyz6_zYhnOX83USg_aXH-7OyyuVicZpY4QFmePK5b0fhjoF25u88LLHgdpYWMZp6gaEYj9JbuHw=s750
E0OsBvUXEAM46lO
DMUFdSNWsAAdD3N
DPpG-TYX0AA0g7V

DKpot5jWkAEoiUJ
Huu uwanja wenye uko na running truck za udongo 🤣🤣🤣 imagine 2020's mnajenga uwanja wa kipumbavu hivyo halafu mnapost hapa.?
 
Back
Top Bottom