Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu uwanja wenye uko na running truck za udongo 🀣🀣🀣 imagine 2020's mnajenga uwanja wa kipumbavu hivyo halafu mnapost hapa.?
Uwanja upo under construction, ama ulitaka waweke running tracks kabla stand na modern drainage haijakamilika? Unadhani ni kama hiyo kirumba mnayokalia zege?
 
Hiyo stadium hamna tofauti. Pitch kunyunyiziwa maji na kuweka bango ndio unaita tofauti? Hujui hiyo pitch miaka ya 1980s kuna seasons ilinyunyiziwa maji na ikawa hivo? Wacha kutetea visivyo teteeka. Hiyo stadium ni uchwara, Jengeni stadiums.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Na hapo haijafanyiwa renovation na ina miaka 40 je ikifanyiwa serious renovations uso wako utapeleka wapi, mm sitetei naongea ukweli haswaa uwanja bado ni mzuri kwa kucheza ligi ya ndani, kwa baadae watafanya renovation Una wasiwasi gani
 
Rennovation gani na uwanja umekaa hivi kwa miaka 40. Ligi yenu ambayo mnachezea hadi viwanja visivyo na stand ndio unatumia kama kigezo?🀣 🀣 🀣
 
Uwanja upo under construction, ama ulitaka waweke running tracks kabla stand na modern drainage haijakamilika? Unadhani ni kama hiyo kirumba mnayokalia zege?
Construction gani isioisha toka 2013, kwanini hamupendi kuambiwa ukweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Uwanja upo under construction, ama ulitaka waweke running tracks kabla stand na modern drainage haijakamilika? Unadhani ni kama hiyo kirumba mnayokalia zege?
Acha kutetea ujinga,ni aibu kujenga viwanja vyenye standards hizo kwa miaka hii, sidhani kama kuna nchi hapa Africa inajenga viwanja kwa miaka hii 2020's vya quality za kipumbavu kama mnavyofanya nyinyi 🀣🀣🀣
 
Nakwambia haujafanyiwa renovation, Kwan ww unasemaje haiwezi kufanyiwa renovation au??🀣🀣🀣🀣🀣
Umesema uwanja uko better than ulivyokuwa 1980s alafu unasema haujafanyiwa rennovation. Kwa hivo ni nini kilifanya ukawa better kama sii rennovation. Wewe Myemeni unachizi. 🀣🀣
 
Kwani hujui KAZI ya pitch ni nn au Umeumia kwa vile nimekuletea video live na mechi imechezwa juzi 🀣🀣🀣🀣 40yrs stadium inakutoa kamasi bado

Alaf kitu hujui ni CCM kirumba stadium mwanza inachukua watu 35,000 tafuta stadium inachukua watu wengi kama hao nje ya Ile gofu kasarani 🀣🀣🀣🀣🀣

Naomba nikuoneshe video tena plzπŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://twitter.com/azamtvtz/status/1791865749356589342?t=ytBeSHbGUH9QuFHxrsMH3A&s=19

Anatumia picha za kitambo ili kuridhisha ego zao kishamba.
Huyo ni demu acha kubishana na kinyasa kaka. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umesema uwanja uko better than ulivyokuwa 1980s alafu unasema haujafanyiwa rennovation. Kwa hivo ni nini kilifanya ukawa better kama sii rennovation. Wewe Myemeni unachizi. 🀣🀣
Nimekwambia ndio haujafanyiwa renovation 40yrs stadium na bado uko kwenye Hali nzuri ya mpira ukachezwa, vipi ikifanyiwa serious renovations itakua wakisasa namna gani🀣

View: https://twitter.com/azamtvtz/status/1791908092831027663?t=P6-xjtM8jA_iV6-tyuW9Fg&s=19
 
Tupostie picha za sahii tuone, wacha kelele. Hakuna uwanja hapo.
Kenya kuifikia Tanzania ni ndoto. Kwa sasa kenya mnatakiwa muanze kujifunza how real development is.
Hapa tunaongelea Football Stadium. Tanzania ipo na zaidi ya Stadium 3 verified by FIFA but Kenya Zero.

Je umekubaliana na hili?
 
Tupostie picha za sahii tuone, wacha kelele. Hakuna uwanja hapo.
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Hii hapa live ya juzi tu

Back
Top Bottom