Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dah! Hii ni race track ya magari sio uwanja wa mpira.
Unajaribu kujipa umuhimu.? Haya kula chuma hizo
20240519_191355.jpg
20240519_191213.jpg
20240519_191219.jpg
20240519_191225.jpg
20240519_191204.jpg
.. mkipata uwanja mzuri kama huu na wenye standards za CAF let me know. 🤣🤣
 
Kwa sasa nataka kuwaumiza Roho wakenya Wanatakiwa kujua how Giant Tanzania is.

Rais wa IPU na Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson leo tarehe 19 Mei, 2024 amewasili nchini Austria ambapo anatarajia kushiriki Mkutano wa Kimataifa kuhusu Usalama wa Nyuklia utakaofanyika kuanzia kesho tarehe 20 hadi 24 Mei, 2024.

1716137587914.png
 
Haya sasa twende kazi.

1716138607588.png


1716138634030.png



ASFC 2024 | Droo ya michuano ya African Schools Football Championship (ASFC) imefanyika leo visiwani Zanzibar ambapo kwa mwenyeji Tanzania imepangwa Kundi A ikiwa pamoja na Senegal na Uganda upande wa Wavulana.Kwa upande wa wasichana, Tanzania iko Kundi B pamoja na Morocco na Congo, huku kundi A kukiwa na timu za Afrika Kusini, Togo, Gambia na Uganda.Michuano hii inaanza rasmi kutimua vumbi Mei 21 na kuhitimishwa Mei 24 visiwani Zanzibar, na kila kitu utakipata LIVE #AzamTV
 
This one in Zanzibar and Mkapa in Dar are the only true stadiums huko kwenu… mbili pekee ..hakuna ingine.. prove me wrong kilaza!..🤣🤣🤣
Unaweza post uwanja wowote from Kenya wenye ni true Stadium.? Wemye at least we can compare it to our stadias.(Amani stadia and Lupaso stadi)? 🤣🤣
 
Back
Top Bottom