Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tupo China tunatangaza Utalii wetu. Tunataka wachina waje kwa wingi bongo

1716127807558.png


1716127977955.png
 
Waziri Makamba ateta na Mabalozi China Waziri @JMakamba
amesema Tanzania itaendelea kukimbia kutoa msaada pale nchi mwanachama wa SADC zitakapohitaji kwa kuwa hiyo ndiyo falsafa inayoongoza Tanzania.Waziri alisema ni imani hiyo kwa SADC ndiyo inayofanya Tanzania iwe na vikosi na vikosi vya kulinda amani katika nchi za Msumbiji na DRC hivi sasa ambako amani imelegalega. Waziri Makamba aliyasema hayo leo jijini Beijing, China, alipokuwa akizungumza na mabalozi wa nchi za SADC walioko China kama sehemu ya ziara yake ya kikazi nchini humo.

1716128310721.png


1716128419282.png


1716128545139.png
 
Broo, Kulingana nawe hivi viwanja viwili vimefanana? Wacha bhangi buanaa.
45519655_1458167160953432_9010252796099821568_n.jpg

1.jpg


Ukweli ni kwamba viwanja vyenu vyote ni vibovu ukitoa kile mlichopewa kama zawadi na Mchina. Hata hiyo Amaan imejengwa kwa mabati labda kuweka roof ndio kidogo walijaribu but viwanja vyenu ni vibovu. Ukitoa roof hicho kiwanja ni vichekesho.

View attachment 2994005
Eti tulipewa kama zawadi na Mchina?
 
Alafu naona kama donation inawauma Wakunya, kwani nyie kila siku mkipewa food donations, tunaumia.

Mpaka matenki ya maji yapewa donation ikulu inawauma nini?

Alafu nyie China na Tanzania relations mnataka kuilinganisha na ukunyani sio ambao mmeanza kushirikiana nao juzi juzi?


Alafu mnadhani wanatupa tupa tu. Tanzania imewahi isaidia China jambo moja kubwa ambalo mpaka kesho hawatalisahau na limeingia kwenye history yao, na huo msaada wetu unafundishwa mpaka mashuleni.


KUIPIGANIA CHINA KUWA NA LEGITIMATE SEAT IN UNITED NATIONS, ambayo TAIWAN inaifanya kuwa sehemu ya CHINA ndani ya Umoja wa Mataifa
.
 
Back
Top Bottom