Capt Richie
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 1,503
- 3,817
City Mall Mombasa
Mkapa unafanyiwa matengenezo,tusisahau, ila sijui kwa nini hawakwenda Uganda tu. Jamaa wajinga sana.Na usikute TFF iliwakatalia kuja kucheza Tanzania 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ndio Aina ya watu tunaobishana nao huku ndaniSio jambo la kushangaza hilo kwa Kenya hata SGR to Malaba huwa wanazindua mara mbili mbili na bado iko kwenye makaratasi
Treni ninatumia masaa Saba including umbali wa kutoka mjini kwenda kwenye vituko na bus pia inatumia masaa SabaHii haina tofauti na SGR kenya hata coaches zake ni same model na Kenyan coaches. Speed ya cargo ni 110kph more than Kenyan SGR at 80kph.
Mashabik hawafiki 10, the 6th biggest league in Africa😅😅Hakuna viti alafu mashabiki ni watanzania pekee who I guess are employees and journalists 😂😂
Na kama wanaona mbali ilitakiwa wakwepe harakati za AFCON unless wajipange kwelikweli maana kile ndio kiama chao. Huku electric sgr, huku BRT, kule the bigest ships in the lakes na hapo bado hatujafocus.Alaf ajabu Angalia walivokosa aibu eti wanadhani bado dunia haijui chochote kuhusu wao 😂😂😂😂😂😂
Kila siku tulikua tunawatambia Kenya GDP imepikwa ikapikika wanafkiri tunatania, ona dunia inavowaumbua SASA, zile sifa za uongo zimesha SASA, wamebakia kutapatapa kama mgonjwa wa kifafa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Daily dose🚩🚩View attachment 2993693
Wazungu weusi wanaadhirika yarabi 🤣🤣🤣Na kama wanaona mbali ilitakiwa wakwepe harakati za AFCON unless wajipange kwelikweli maana kile ndio kiama chao. Huku electric sgr, huku BRT, kule the bigest ships in the lakes na hapo bado hatujafocus.
Storm over Paradise 🤣 🤣 🤣Ndio Aina ya watu tunaobishana nao huku ndaniView attachment 2993749View attachment 2993751
Huu ni utoto. Ukikua utaacha 🤣🤣🤣🤣
Shida ni hii hizo stadium tulijenga miaka ya 1970s to 1980s ila cha ajabu tupo 2024 mnajenga vitu vile vile.Stadium haina viti alafu imeparara kweli kweli😂😂
Alafu tukiwaambia wako nyuma in terms of Stadium wanakasirika😂😂😂
View attachment 2993405
Haya hio talanta subiri uone kwa macho mzee, usiamini render kabisa 🤣🤣🤣🤣Shida ni hii hizo stadium tulijenga miaka ya 1970s to 1980s ila cha ajabu tupo 2024 mnajenga vitu vile vile.
Ukitoa Talanta inayojengwa kisasa, hivyo viwanja ulivyoweka humu viko na tofauti gani na hivyo vyetu vya 1970s to 1980s?
Cha kuchekesha tulivyokarabati na kujenga karibuni Amaani, B/Mkapa ni legel ambayo hamba hadi msubirie Talanta.
Mgekuanna Level hizo msingekua mnatupigia kelele sijui Daily Dose.
Hata hiyo Arusha stadium mnayoicheka cheka, mlianza kuleta render ya Talanta, baada ya Render ya Arusha kufika mkaishia kuificha kuleta ujenzi.
Ujenzi ukiwekwa mtasemaje?
SGR haijawapa somo kua "kutangulia sio kufika"