Lazima wachague a strong league ili timu yao iwe fit kimchezo.
Lazima wachague a strong league ili timu yao iwe fit kimchezo.
Hata wakikomaa bado ni aibu kwao😂😂😂Ni aibu 2024 utandawazi umewaaniika na umewaacha uchi wa mnyama ila bado wanakomaa kimaeni hadi kieleweke
Nakubali kuwa mimi ni kichaaa, ila wakenya wote wanaosifia sgr ya wese ni matahira 😀 tena isitoshe mnataka kusifia mwendelezo wa ujenzi wa njia za mitungi ya chang'aa kwa gharama kubwaUmeme gani mtuuzie wakati hamjatosheleza hata mahitaji yenu ya ndani. Wewe ni kichaa?
The whole of Western Kenya has lots of treesBungoma has alot of trees I seee
Broo, Kulingana nawe hivi viwanja viwili vimefanana? Wacha bhangi buanaa.Shida ni hii hizo stadium tulijenga miaka ya 1970s to 1980s ila cha ajabu tupo 2024 mnajenga vitu vile vile.
Ukitoa Talanta inayojengwa kisasa, hivyo viwanja ulivyoweka humu viko na tofauti gani na hivyo vyetu vya 1970s to 1980s?
Cha kuchekesha tulivyokarabati na kujenga karibuni Amaani, B/Mkapa ni level ambayo hamba hadi msubirie Talanta.
Mgekuanna Level hizo msingekua mnatupigia kelele sijui Daily Dose.
Hata hiyo Arusha stadium mnayoicheka cheka, mlianza kuleta render ya Talanta, baada ya Render ya Arusha kufika mkaishia kuificha kuleta ujenzi.
Ujenzi ukiwekwa mtasemaje?
SGR haijawapa somo kua "kutangulia sio kufika"
Tanzania tumeweza kuleta treni kama waliyoahidi UHURUTO wao sasa huu ni mwaka wa 12 bado hawajaleta kama walivyoahidiNdio Aina ya watu tunaobishana nao huku ndaniView attachment 2993749View attachment 2993751
Hawa nyangau walishapewa mara 2 ku host mashindano makubwa ya CAF lakini mara zote 2 wakashindwa ni aibu sana.Na kama wanaona mbali ilitakiwa wakwepe harakati za AFCON unless wajipange kwelikweli maana kile ndio kiama chao. Huku electric sgr, huku BRT, kule the bigest ships in the lakes na hapo bado hatujafocus.
Wazee wenzangu. Tumezima mashambulizi ya Tanzanite na Tourism kwa sasa tumehamia kwenye Avocado
View: https://x.com/HusseinBashe/status/1792153924004188619
Ahsante kwa kutuonyesha nyumba za tope mjini. 🤣 🤣Cha msingi ni binder,kama tope Lina binder Kuna shida gani? Ujenzi dream House unaendelea kama ifuatavyo 👇👇View attachment 2993803
Kwa haraka haraka nilifikiri ni MGR ya Kaliua Mpanda 😄 ila comment ndio imenisanua.Non stalling SGR😎View attachment 2993702
Tena ziko nyingi na decent kabisa Kundustan will keep on dreaming them 😆😆.Ahsante kwa kutuonyesha nyumba za tope mjini. 🤣 🤣
Mbona upost Uwanja wa Amani wa zamani mzee.? Kwa muonekano wa sasa wa uwanja wa amani, hakuna uwanja wowote in kunyaland wenye it match Amani stadium.Broo, Kulingana nawe hivi viwanja viwili vimefanana? Wacha bhangi buanaa.
![]()
![]()
Ukweli ni kwamba viwanja vyenu vyote ni vibovu ukitoa kile mlichopewa kama zawadi na Mchina. Hata hiyo Amaan imejengwa kwa mabati labda kuweka roof ndio kidogo walijaribu but viwanja vyenu ni vibovu. Ukitoa roof hicho kiwanja ni vichekesho.
View attachment 2994005
Tatizo lenu mnatafuta makosa, na sio ufanisiUsidhanie kwamba mko mbele kwenye SGR manake hatujui economic metric zenu ni gani. Tunasubiri Sana kuona volume ya mizigo na abiria mtakao safirisha kwa mwaka mmoja kisha tulinganishe.
Mwishoni kabisa wanasema:What a lame excuse for FKF 🤣🤣🤣
![]()
FKF Explains Why Kenya Chose Malawi Over Neighboring Nations for Harambee Stars Matches
The Football Kenya Federation (FKF) has explained why Kenya chose Malawi over regional nations to host the Harambee Stars’ upcoming World Cup qualifiers against Burundi and Ivory Coast. The FKF defended its decision to select Malawi instead of neighboring countries for the Harambee Stars’ two...zipo.co.ke
Personal disclosure…. Very proud to have the hospital named after my late Aunt… and former Prisons college commandant… I will be visiting the place in a near future..Another Kenya Police Hospital. Kenya Army and Police are doing good business. They will end up being autonomous.
View attachment 2993734View attachment 2993735