Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,607
- 15,711
Yetu ni loan bongolala. Tafautisha kati ya loan na msaadaEeh kama ni mbaya, why mnaenda kulia lia mpate ili mlipeleke ngija ngija malaba?
Yetu ni loan bongolala. Tafautisha kati ya loan na msaadaEeh kama ni mbaya, why mnaenda kulia lia mpate ili mlipeleke ngija ngija malaba?
Wewe myemen tangu lini ukaelewa Kiingereza? Nitakuwa napoteza tu muda na weweSelected maana yake mumepeka masharti mutekeleze ndio maana munafanya second renovation baada ya Ile ya Kwanza watu Kula pesa 😂😂😂😂😂 na hii mukifeli tena hamupewi approval hio mzee
Cow grazing approved.Eti hii ni what Approved!!?
Kweli kabisa hii ni dream house😂😂😂🤣🤣Cha msingi ni binder,kama tope Lina binder Kuna shida gani? Ujenzi dream House unaendelea kama ifuatavyo 👇👇View attachment 2993803
Leta kama hiyo ukitoa Posta, Kariakoo na Upanga tuoneWazungu weusi wanaadhirika yarabi 🤣🤣🤣
Tutaambia nini watu, mwengine kaleta concrete jungle 🤣🤣🤣👇👇👇👇
Eti hii ni concrete jungle 🤣🤣🤣🤣
Sema hauna reply hapo Gongo la mbotoHuu ni utoto. Ukikua utaacha 🤣🤣🤣🤣
🤣 🤣 🤣 🤣 Mambo ya Buildings tulishajadili sana. For now we are talking about new things. Hebu tuambie ni kitu gani kipya hapo Nairobi hakipo Dar?Sema hauna reply hapo Gongo la mboto
Umeme gani mtuuzie wakati hamjatosheleza hata mahitaji yenu ya ndani. Wewe ni kichaa?I am confident na vituo vya umeme vilivyowekwa plus Nyerere hydroelectric. Pia kama ungekua unaishi TZ ungeelewa hilo sio tatizo la kuhofia.
Unamaanisha tutawauzia umeme halafu ukatike kwenye sgr? be serious
Dar hakuna buildings. Jiji nzima ni lowlife uswazi hovels nicknamed dreamhouses🤣 🤣 🤣 🤣 Mambo ya Buildings tulishajadili sana. For now we are talking about new things. Hebu tuambie ni kitu gani kipya hapo Nairobi hakipo Dar?
Tanzania nzima huwezipata recreational park ya kulinganisha na either Uhuru Park or Central Park. Hata utembee hadi you won't findSince 2017 mnaongelea Uhuru park. Je there is any changes since tuanze battle hii 2017? Almost 8 years.
Wale wa footballing Nation wako kwa hii michezo kweli?🤣🤣
View: https://web.facebook.com/NamwambaAbabu/posts/pfbid037CLApfZaNuhD1LFM97UU3dJU5b9ah68dBZ6HX1GToLTz25D6idG8ZFtyjvaU8fBXl
Ni kubwa tu kama Ile ya Kisumu at Makasembo
Ndio Mama Ngina kawasimulia hivyo 🤣 🤣 🤣 🤣. Umekula lakini leo?Dar hakuna buildings. Jiji nzima ni lowlife uswazi hovels nicknamed dreamhouses
Labda nikuulize kwann munafanya renovation mara ya pili?? 😂😂😂😂😂Wewe myemen tangu lini ukaelewa Kiingereza? Nitakuwa napoteza tu muda na wewe
You'd have a hard time telling a Tanzanian that this is a three-level interchange. Mazuzu wa kupindukia
Kwani nadanganya? Hebu lete picha za Mabibo tuoneNdio Mama Ngina kawasimulia hivyo 🤣 🤣 🤣 🤣. Umekula lakini leo?
Hatufanyi renovation ya pili. It's a contuning thing. It was being done in phases. Kama ni renovation ya pili, hebu niletee taarifa ya source ya pesa inayofanya hiyo renovation ya piliLabda nikuulize kwann munafanya renovation mara ya pili?? 😂😂😂😂😂
Kua selected haina maana ndio itachezwa kama hamjakidhi vigezo hamupewi last approval, weka akilini