Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,607
- 15,711
Hii tu moja iliyobaki kupiga route za ndani kama bajaji ama kuna nyingine?๐๐๐Hii ATCL walisema itatoa KQ kwa market.๐๐
Hii tu moja iliyobaki kupiga route za ndani kama bajaji ama kuna nyingine?๐๐๐Hii ATCL walisema itatoa KQ kwa market.๐๐
By next year they should be complete, we want Kpl matches in those areas. Mashabiki wa mpira ni wengi Sana westernWanasahau Bukhungu stadium na Masinde Muliro Muliro stadium are found in two different towns and also two different counties
Kumbuka Kuna Mombasa stadium inakuja 60k seater.Hizi stadiums zinazojengwa Kenya Kwa sasa zikiisha mibongolalala watabaki kutuonesha Azam kila siku na kutuambia vile wako mbele kimichezo ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ask them to show any stadium under construction in Tanzania utanibuwa na matusi
These people are so desperate
Any links if there is?Kumbuka Kuna Mombasa stadium inakuja 60k seater.
You're so wrong, brother. You seem full of emotions from whatever one of us has done to you. What's going on? Spit it out. Au ndio mangi wa dukani kamla demu wako nini.Cha6a Manifesto wanajaribu kuhakikisha wanataka kutengeneza empire yao Tanzania kama Kule Kenya Kikuyu.
Hujui watu wengi wa kutoka kule ndio wanakuwa negative. Hata hivyo Kule kimara more than 80% wapo wao ndio waliomchagua ili awatetee.
Dig down deep utawaona CHADEMA na lengo lake. Kama hujatokea kule wanakumaliza.
Kwani Mikoa mingine yenye Vyuo ni sapoti ya kitu gani Nje ya serikali?Kuna mikoa dunia hii kama si support ya serikali isingewahi kuwa na vyuo. Ifuatayo ni otodha ya mikoa hiyo:
1. Mbeya
2. Kagera
3. Kigoma
Hizo ni mbio za sakafuni kama ilivyokua SGRHizi stadiums zinazojengwa Kenya Kwa sasa zikiisha mibongolalala watabaki kutuonesha Azam kila siku na kutuambia vile wako mbele kimichezo ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Ask them to show any stadium under construction in Tanzania utanibuwa na matusi
These people are so desperate
Usidhanie kwamba mko mbele kwenye SGR manake hatujui economic metric zenu ni gani. Tunasubiri Sana kuona volume ya mizigo na abiria mtakao safirisha kwa mwaka mmoja kisha tulinganishe.Hizo ni mbio za sakafuni kama ilivyokua SGR
Usidhanie kwamba mko mbele kwenye SGR manake hatujui economic metric zenu ni gani. Tunasubiri Sana kuona volume ya mizigo na abiria mtakao safirisha kwa mwaka mmoja kisha tulinganishe.
๐๐๐๐ Kenya imelaaniwaMasinde Stadium, might not be ready for Madaraka Day but I like the progress the KDF is doing.
View attachment 2993357
View attachment 2993358