The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Kama itaisha salama kama ambavyo render iliwekwa manaake watakuwa na first CAF approved stadium tangu kupata uhuru alafu tumekaa hapa tunabishana nao, watanzania tuna huruma sn🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kipmeno arap Teargas yuko wapi na ile 'daily dose' yake?😎😎😎