Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Antibiotics za lazyland zimeisha nguvu
IMG_20240515_093719.jpg
 
Antibiotics za lazyland zimeisha nguvuView attachment 2990555
Kama umesoma medicine usugu wa dawa hutokea sio tu kwa antibiotics kama ampicloxacillin na amoxcillin,bali hata kwa antipain kama piroxicam,diclofenac pia usugu hutokea.
Hata kwa ARV-Anti retrovirus drugs usugu hutokea,ndio maana kuna kipindi wanakupima viral rods na kukubadilishia dawa.
Usugu wa dawa ni kitu common katika matibabu.
 
Kwa hivo madirisha yalijitoa kabla lianguke? Halafu hilo tractor aina ya excavator hapo ni gari la matembezi la mmoja wa wapangaji wa hiyo nyumba ama? No wonder watu wengi humu hata huwa hawakujibu.
Nikikwambia una reason kama mbuzi usikatae.
Kwahiyo hilo excavator kazi yake kubomoa tu!?
We huoni kule nyuma inatoa vifusi!?
Au ulitaka vifusi vitolewe kwa mikono na machepeo/spade!?
Hilo jengo linaonekana hata halikukamilika maana kote huko unaona kabisa hakuna alama hata ya kuwepo madirisha.

Wanaonijibu ni wengi hasa hasa Teargrass usilete vibweka saahii.
 
Hao uliowataja wanafanania na huyo!?
Embu fananisha mijadala wanaotoa hao uliowataja na huyu mwanamke kesha fananisha.
They're all twitter government critics from their respective countries. Nyinyi mnatumia wa kwetu kutuchekelea na sisi tunatumia wa kwenu kumchekelea japo wa kwetu ni wengi zaidi kisa tuna freedom of expression.
 
Nikikwambia una reason kama mbuzi usikatae.
Kwahiyo hilo excavator kazi yake kubomoa tu!?
We huoni kule nyuma inatoa vifusi!?
Au ulitaka vifusi vitolewe kwa mikono na machepeo/spade!?
Hilo jengo linaonekana hata halikukamilika maana kote huko unaona kabisa hakuna alama hata ya kuwepo madirisha.

Wanaonijibu ni wengi hasa hasa Teargrass usilete vibweka saahii.
Wewe kupingana nawe ni kuharibu wakati. Basi limeporomoka. Wacha nikuache jinsi NairobiWalker alivyokuacha ukipingana eti Yoruba ni Bantu.
 
Nimekwambia fuatilia wanachokosoa wa kwenu na wakwetu.
Unafananisha mtu anayekosoa eti kupokelewa kwa rais na mtu anayekosoa kutokukamilika kwa miradi!?
 
Ukiwafuata wote utapata saa zingine wao hupost vitu visivyo vya maana na pia vya uongo ile wetu wakipost, mnasherehekea na wenu wakipost mnatuambia eti sio wat wa kuskiza. Alafu hilo la kutopokelewa eti unasema jambo lisilo na tija? Yani Rais wenu kuwa political tourist hadi kuenda nchi ambazo anaoneshwa dharau unaona kama sio jambo la maana?
 
Aaagh.
Nenda na visingizio vyako,huyo ulomtaja nilimuuliza kuhusu hilo swali hakujibu mpaka leo.
Kitu kinaonekana kwa macho kwanini udanganye!?
Alikujibu tena vizuri sana, ila uliendelea kupingana na kuuliza viswali vya ujinga akakuacha. Mbona huwezi kubali tu ulikosea?
 
Back
Top Bottom