Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kilichompeleka Samia France ni kutafuta pesa Kwa wadau wa Maendeleo Ili kufikia ajenda ya matumizi safi ya Nishati ya kupikia Hadi 80% come 2035 from only 5% ya Sasa.

Kimsingi amefanikiwa kugeuza ajenda ambayo ilikuwa yake binafsi na ambayo iliwalenga wanawake zaidi na sasa imekuwa ajenda ya Dunia.Alianza kwa kuintroduce kule COP28 Dubai na Sasa huko France.👇👇

View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1788443991970639970?t=Qyu1Ze7UDrYsoSZQn98v9A&s=19

My Take: Kima wa Kundustan punguza wivu,Samia hajawahi fanya ziara ya hasara kama Ruto hata siku Moja 👇👇

View: https://twitter.com/AfDB_Group/status/1788957129631563943?t=fhRze0CD6MidCfrttBL4LA&s=19

In short, ameenda kuombaomba France. Ombaomba huwa hawekewi red carpet.😂😂
 
NDINDA Kuna picha moja ATCL aircraft inapita anga la Kariakoo kuna magorofa mengi sana hawa jamaa zetu walikimbia ile picha. Maana walitafuta hadi Mombasa hawakupata ule mtiti. Naomba mwenye ile picha atukumbushe.
Ghorofa zimeanza kutafutwa kwa tochi
 
Back
Top Bottom