Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ili kunusuru thread hii natangaza rasmi Leo kua kila kitu kinachokuja Tanzania kinatoka Kenya mpaka Boeing na airbus zimetoka Kenya, nafanya hvi kama mwenyekiti ili battle hii iendelee, hata boti zote za Azam zinatoka Kenya kulingana na governor sonko


Haya naomba likes zenu wakenya wote 🤣🤣
Ila Wakenya wenzie wamemshukia!
 
Na wakiambiwa ukweli kua wao ni maskini wanakua wakali 🤣🤣🤣🤣🤣

2.5m people wanaishi kibera slum hawana KAZI wala hawajui Kula Yao na wanalala kwenye mabanda hata nguruwe hawezi lala hio Kodi atalipa na nn

Eti matajiri wanne Wana control utajiri wa watu zaidi ya million 25🤣🤣🤣🤣


View: https://twitter.com/ntvkenya/status/1790468075961070036?t=TCRJOD5A3v08mi-Uik2Owg&s=19


View: https://twitter.com/MwangoCapital/status/1616013580972736517?t=UoSX3qpPlTHR1ODu0K2JSw&s=19
 
Nimekuambia Tanzania hamuna magorofa ukaleta picha za nyumba mbili tatu. Nicxie akakupa mfano wa cluster bado hujajibu kwa picha za dar slum. Tanzania hakuna gorofa zinaanguka kwa sababu hamuna PERIOD!!!
So kwa argument zako ni kwamba mnaizidi Tanzania kwa idadi ya maghorofa, pia mnaizidi Dubai, London, New York kwa idadi ya maghorofa si ndiyo?
 
Back
Top Bottom