Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii project imefikia wapi?

1715708279520.png
 
Ikiwezekana semeni Bullet Train,mv mwanza,na ndege tunazonunua ni kundurenda made mmetutengenezea pia ndio mjue hata watu tunao bishana nao humu ni wa aina gani hata sisi tuna wajinga akina X meya lakini hawezi kuwandika ujinga kama huu kwani mnamatatizo gani hasa
Teargas siku hzi Australia iko Kenya??🤣🤣

Siku hzi mumeishiwa mpaka wanasiasa wenu wameanza kudanganya hadharani

Serious???🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌

View: https://twitter.com/MikeSonko/status/1790343047965995359?t=kXRrDrqp6pwW2kkg2uewxA&s=19
 
Tanzania tunashiriki Mkutano wa Kimataifa wa Madini Mkakati unaoitwa Raw Materials Summit 2024, unaofanyika Brussels, Belgium tarehe 14-16 Mei, 2024.

Tanzania ni miongoni mwa nchi chache duniani zenye Madini Mkakati ambapo katika mkutano huu tutajadili na kubadilishana uzoefu juu ya usimamizi wa madini haya muhimu kwa maendeleo ya nchi zetu. Pia tutazungumzia na masuala ya uongezaji thamani (value addition) na mchango wa madini mkakati katika mnyororo wa thamani wa sekta ya uzalishaji.

Msafara wa Tanzania unaongozwa na Mhe. Prof. Kitila Mkumbo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji. Pia tumeambatana na wawakilishi wa sekta binafsi na sekta ya umma.

Sekta ya madini ni urithi wa taifa letu. Sekta hii tunaitunza na tunaikuza kwa manufaa ya Taifa na Ulimwengu kwa ujumla.

Wizara ya Madini inakusudia kutengeneza ushirikiano katika utafiti wa kina wa kijiofizikia (High Resolution Airbnorne Geophysical Survey) na wadau mbalimbali duniani.

Tunawakaribisha wadau wote wa madini mkakati waje kuzungumza nasi tukiwa hapa Brussels. Tupo tayari kuwahudumia.

 
Sitarajii maneno makavu lete picture evidence.
We umwerogwa!?
Bandari si ipo maeneo ya hapo hapo kivukoni karibia na soko la samaki!?
Naona nabishana na fala.
Point yako nini!?
Au ulitaka tusiweke soko kuu la samaki hapo!?
 
Back
Top Bottom