Who is Tulia Jackson? Dunia inajua Michael Jackson tu.Kama hakuna anayeijua Tanzania Dr.Tulia Ackson walimpigiaje kura awe rais wa IPS duniani?
Embu nipe jibu.
Who is Tulia Jackson? Dunia inajua Michael Jackson tu.Kama hakuna anayeijua Tanzania Dr.Tulia Ackson walimpigiaje kura awe rais wa IPS duniani?
Embu nipe jibu.
Unajua kirefu cha IPS?Who is Tulia Jackson? Dunia inajua Michael Jackson tu.
Aliyewazuia kumanage hiyo madafu yenu ni nani?Bado hamjakoma tuu ku manage currency? Iacheni iwe free floating muone kama mna ubavu ama la?
Why is dar slum such a mess, instead building a waterfront you build a dirty smelly fish market. Alafu mwingine anauliza hizo picha ni za mwaka gani😅😅😅We umwerogwa!?
Bandari si ipo maeneo ya hapo hapo kivukoni karibia na soko la samaki!?
Naona nabishana na fala.
Point yako nini!?
Au ulitaka tusiweke soko kuu la samaki hapo!?
Kabisa yaani sema wabongo tunamisifa tu lakini huwezi linganisha flyover na madaraja ni vitu viwili tofauti sanaHizi thread zinanipaga raha sana kusoma.. Kama mbongo nadhani facts ziwe facts.. Nairobi imetuzidi sana kimiundombinu haswa barabara na reli.. Watanzania waliofika ama kuishi Nairobi watakubaliana nami kwa hili. Cha msingi ni kuwa kwa sasa Dar nayo inajitahidi kukechi up ingawa naona kwa kiasi kikubwa ni majengo tu yanapanda lakini barabara na miundombinu mingine kama ya barabara (including public transport.. And yes najua kuhusu BRT), intaneti ya mwendo kasi N.K.vinasua sua sana..
Hapo nyang'au wanapita kimya kimya kama hawaoni vile, ha ha ha😎,,,,Aya hapo jengo liko peke yake limeporomoka na lilivyo laonekana wamelipunja nondo na saruji.
Kwa island ungelinganisha na mombasa sio Nairobi hapo ungekuwa sawaKwahiyo dar es salaam imeizidi Nairobi kwa mambo ya Island si ndio. Umekubali hilo? Nataka ukubali hilo kwanza.
Ukweli usemwe kama umeweka mashindano na ukaona umezidiwa kubari umezidiwa tuBaba hata kwenu kubaya tu mimi nahisi ungesema chochote juu ya currently DAR ila naona umeponda mpaka basi, Nairobi imetutukana sana na DAR yetu leo inaenda zaidi ya Nairobi bado hujaona baba!!! Hivi kweli public transport yetu na Nairobi unalinganisha au hukuwahi kwenda Nairobi! Mmmmmmhh haya bhana ila kumbuka kwenu kwenu tu.
Suluhu ameenda visit France na hata hawezi wekewa red carpet akitoka kwa ndege, anawekewa carpet ya kupanguzia vumbi kama zile za milango 😂😂😂
View: https://x.com/MariaSTsehai/status/1790296349667205216
Nilikuwa namuona wa maana ila nimegundua ni mpuuzi!Yani mtu mwenyewe hata mjadala anaoleta ni wakisenge.
Kuna mjadala wa maana hapo!?
Jadili kilichompeleka Samia France ni kipi na je kimefanikiwa?
Hilo ndio la msingi.
Habari za kupokelewa hazina mantiki yeyote.