Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekuuliza kama Makwapa washaihost any world event?😂😂😂.

Makwapa iko na indoor Arena?
Makwapa iko na aquatic Stadium?
Tunalinganisha uwanja wa mpira sio sports complex.
Mbona unahepa mada!?
Which football stadium is beautifull between BWM and Kasarani!?
 
Tunalinganisha uwanja wa mpira sio sports complex.
Mbona unahepa mada!?
Which football stadium is beautifull between BWM and Kasarani!?
Kasarani obviously.

Alafu Hapa tunalinganisha the full package. Mambo ya kuchagua vitu moja moja tafuta fala mwenzako ufanye naye.
 
Bado unaropoka as always.
Reli yenu haina ufanisi wa kuhimili mwendokasi wa 170+km/hr inakuaje na chombo cha kutembea speed ya 200+!?
Your Trains have a maximum speed of 180km/h, za Kenya can go upto 200km/h
Na kama mna hizo lokomotives mbona hamtembei speed hitajika!?
Nai to Mombasa masaa 6 mzee!?
Fala wewe.
 
Bado unaropoka as always.
Reli yenu haina ufanisi wa kuhimili mwendokasi wa 170+km/hr inakuaje na chombo cha kutembea speed ya 200+!?
Na kama mna hizo lokomotives mbona hamtembei speed hitajika!?
Nai to Mombasa masaa 6 mzee!?
Fala wewe.
Kenyan SGR trains =200km/h
Tanzanian SGR trains = 180km/h
 
Kenya kila wakati majengo yenu yanaanguka.
Yes vingunguti kuna wahandisi wazuri ndio maana vingunguti hiyo hiyo inapatwa na mafuriko ila nyumba hazianguki.
Ndio ujue TZ tukijenga tumejenga.
Kenya kila mwaka ninyi jengo lazima lianguke shida nini kama sio mainjinia wabovu wa majengo!?
Sasa eneo kama hili unaexpect jengo gani ianguke?
images - 2024-05-10T192854.499.jpeg

Labda iangushwe na upepo
 
Ndege zao zinashikwa kila mahali. Ingine pia ilishikwa kule Canada😂
Boeing waliwapiga kitu, walijua wanadeal na mafala. 😂 😂 😂
Walipeleka lawyers wote hadi interns and attaches huko South Africa. Vile iliachwa hawajairudi South Africa tena 😂😂
Ndege mpya ishaanza kupata rust😂😂😂.

Wanakuambia engine ndio iko na shida lakini ni ndege yote ndio imeoza.
Kipya chakavu aka newly refurbished😃
Kuna vitu vingine lakini sisi watanzania tunatia aibu l. Kwanza ilikuaje wamenunua ndege bila kununua spare engine?? Mbona ya kijinga na lizamani!

Wanzao walinunua ndege wananunua na spare zake kabisa, ndege moja inanunuliwa spare engine hata 4. Ili isiwe inakaa kwenye matengenezo muda mrefu.

Ndo maana masema matindi out!! Huwezi emdesha shirika la ndege 2024 kama vile uko 1947
Hizi ndege hazikuwahi kuwa na tatizo lolote lile na hazina tatizo. Kinachoendelea ni muendelezo wa siasa chafu ndani ya CCM wakitaka kuharibu mambo mengi ya Magufuli hasa kikundi cha wavaa Kobazi kwakua tangu washike nchi hakuna lolote la maana wamefaifanyia nchi. Uwepo wa hizo ndege huko ni ufisadi na uhujumu.
 
Based on his stupid logic, Azam stadium is owned by Bakhresa, not by Azam FC.🤣🤣🤣
Unaona ulivyo msenge!?
Azam FC ni timu ya Said Salim Bakhresa mmiliki wa Azam groups na ni mtu binafsi.
Ulinzi stadium inamilikiwa na Ulinzi FC ambayo ni timu ya KDF na KDF ni mali ya serikali.
 
World event ipi unazungumzia!?
Ya Mpira ama ipi?
Naona ushaanza kuhama,maana tunazungumzia ubora na uzuri wa uwanja wa mpira hapa.
Kwani stadium inakuwanga ya mpira wa miguu tu?

Jibu swali ulioulizwa. Na huo "ubora" wa makwapa stadium, which international sporting event has it hosted. If you can't answer this question, then shut your stinking mouth
 
Sasa eneo kama hili unaexpect jengo gani ianguke?
View attachment 2988907
Labda iangushwe na upepo
Ndio maana nasema hizo nyumba imara kuliko nyumba zenu.
Hizo zinapigwa mpaka na mafuriko lakini hazibomoki ila ninyi nyumba zenu zinabomoka hovyo.
Kwa mafuriko ya Dar ulisikia kuna gorofa limebomoka ama kuanguka?
Kwanini yaanguke magorofa yenu nyie tu siku zote?
Kwani Dar hakuna magorofa?
 
Dar kuna ghorofa? Ukitoka cbd, Kariakoo na upanga ni wapi Tena Kuna maghorofa?
 
W
Kasarani obviously.

Alafu Hapa tunalinganisha the full package. Mambo ya kuchagua vitu moja moja tafuta fala mwenzako ufanye naye.
We kweli ni matako ya nguruwe.
Aya sawa BWM haina.
Je kasarani ina hivi vitu vifuatavyo;
1)V.A.R room?
2)Ubao wa matangazo wa LED?
 
Back
Top Bottom