Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 20,934
- 63,313
Mzee nani kakuchefua?Huu ni uasi/ uhaini ( treason) , nchi hii haiongozwi na matakwa ya watu tu, ina katiba. Jaribu kuwa unajizuia na mihemko yako.
Sawa, humpendi raisi, humkubali lakini sio kwa Maneno ya kihaini kama hayo hapo juu. Ukiambiwa ulete ushahidi wa maneno hao utaweza.
Hata uhuru wa kuongea unalindwa na katiba.
Jiheshimu mzee....punguza mihemko. 2025 utamchangua umtakae awe raisi wako.