Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 14,287
- 17,963
Truth hurts, sindio?Wewe sio mzima.
Truth hurts, sindio?Wewe sio mzima.
Huwa mnalazimisha kupewa attention hivo? Ni kama huyo jama wenu amecrushia 😂😂🤣🤣🤣🤣 Kumbe nafukua makaburi ya watu.
Do you really know Ruto? Jama anaekucheza vibaya sana. I’m sure huyo Rostam Aziz Ruto alikuwa anapeleka na maji.Kwahiyo Raisi wenu, National Flag, Coat of arm zilitumika kwenye hewa sio?
Muha mwenzetu huyo.Huyo kuna nati zimelegea kichwani sio bure.
Ukisema hivi si ni kama unasema Raisi wenu anawacheza vile maana yupo hapo na vitu vyote vinavyoitambulisha Kenya kama nchi.Do you really know Ruto? Jama anaekucheza vibaya sana. I’m sure huyo Rostam Aziz Ruto alikuwa anapeleka na maji.
Naona mmefikia kipindi hamuamini chochote Kenya mpaka muone eeh! Ndio maana uwanja ni kila siku. Maana mmepigwa sana.I'm dead serious, tuonyeshe hata wheelbarrow ama spade ikiwa site
Ruto alicheza Aziz Rostam. That’s why nothing is going on since February 2023 the day of unveiling the site.Ukisema hivi si ni kama unasema Raisi wenu anawacheza vile maana yupo hapo na vitu vyote vinavyoitambulisha Kenya kama nchi.
So popote hata leo huko Tatu City Ruto alikua anawacheza eeh?
Nasikia orders za Comac C919 zimeongezeka sana. Airbus nao nilisoma mahali wanataka kuirudisha A380.Dah! Ndio maana naona Bora twende hata China maana china atajitahidi kuprove ubora.
We jamaa asee! 🤣🤣🤣🤣Ruto alicheza Aziz Rostam. That’s why nothing is going on since February 2023 the day of unveiling the site.
Tatu City alienda kulaunch completed project, not dreams kama za Rostam Aziz.
Ila kumbuka bado kuna parts za ndege China inategemea Airbus!Dah! Ndio maana naona Bora twende hata China maana china atajitahidi kuprove ubora.
Ndio hivi china akaze ndio watie akili alafu Wapuuzi wanasema safety wakati wenyewe ndio wanatutolea ndege Hazieleweki.Nasikia orders za Comac C919 zimeongezeka sana. Airbus nao nilisoma mahali wanataka kuirudisha A380.
Ni Afadhali kuliko kupigwa nao wenyewe, hata Mitandao ya Bongo inachukua internet TTCL wao wako vizuri, ila TTCL sasa utatukana.Ila kumbuka bado kuna parts za ndege China inategemea Airbus!
Mrusi afufue.Ila kumbuka bado kuna parts za ndege China inategemea Airbus!