Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Goat Husband 🤣 🤣 🤣
Every time a Kenyan makes a real point, you Bongolalas always respond with Childish drag into the mud… you want us to lower ourselves to your childish levels so you can beat us with experience….hatuwezi take that bait..🤣🤣🤣🤣🤣
 
Every time a Kenyan makes a real point, you Bongolalas always respond with Childish drag into the mud… you want us to lower ourselves to your childish levels so you can beat us with experience….hatuwezi take that bait..🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna jamaa huyu hapa. Yumo humu hebu naomba umwite tuongee. NIlimpatia task akakimbia

1715530118732.png


 
Andika tu kwa kiswahili tutakuelewa😂😂

Again who doesn’t know that Tanzania is backward?
Ni kama kuishi Tandale ununue suit na brief case, sasa unatembea Mtaani ati wewe ni Tajiri…🤣🤣… afadhali kupewa lift na gari ya pastor 🤣🤣🤣🤣..
 
Jengo lilikua abandoned watu wakaiba vyuma likaanguka. Nyumba hazianguki vingunguti je ni kwa sababu kuna ma engineer wazuri?
Kenya kila wakati majengo yenu yanaanguka.
Yes vingunguti kuna wahandisi wazuri ndio maana vingunguti hiyo hiyo inapatwa na mafuriko ila nyumba hazianguki.
Ndio ujue TZ tukijenga tumejenga.
Kenya kila mwaka ninyi jengo lazima lianguke shida nini kama sio mainjinia wabovu wa majengo!?
 
It seems you are new here. Let me list down my principles for your sake;

  • I don’t post to impress anybody.
  • I’m not here to teach or educate anybody.
  • I’m not here to be anybody’s role model.
  • I’m not here to make friendship.
  • I state facts how they are, no matter how hurting they might be to you.
So if you want to learn, I would advise you to go back to your parents.
Ndondocha!
 
Huo uchumi wa Kenya kujenga kwa pesa ya serikali mutoe wapi!?
Kenyan government is a collapsed government.
Mbaya zaidi hizo zinazojengwa kwa PS huwa zinanufaisha wachache wenye pesa
There is a big difference between Kenya and Tanzania. Tanzania builds a city and installs several government buildings with no economic impact. Like Dodoma. Kenya on the other hand builds cities with economics touch. Cities that employ people and sustain themselves while growing economic. Eg Tatu City, Konza City, Tilisi, etc.
View attachment 2987179View attachment 2987180View attachment 2987181View attachment 2987182View attachment 2987184View attachment 2987187View attachment 2987192
 
Nilikuambia tuanzishe mjadala wa stadium ukakimbia ukahepa.
Kwa mambo ya Stadiums usijisumbue na mtanzania yeyote. Just ask them to post their top 10 Stadiums utaona wakipotea moja moja.
Anza kutaja tufananishe hapa kuanzia pitch,vyumba vya nguo na mengineyo ikiwemo idadi ya mashabiki uwanjani.
 
Back
Top Bottom