Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

W
We kweli ni matako ya nguruwe.
Aya sawa BWM haina.
Je kasarani ina hivi vitu vifuatavyo;
1)V.A.R room?
2)Ubao wa matangazo wa LED?
Ubao wa kuomba?
V.A.R room is just like any other room with Digital TV and checking outside CCTV cameras. V.A.R room inakuwa hata kwa choo.
 
Dar kuna ghorofa? Ukitoka cbd, Kariakoo na upanga ni wapi Tena Kuna maghorofa?
Manzese magorofa yapo,Temeke yapo na pia hata Kigamboni yapo.
Au nikuletee picha?
Yani jeshi yenu haiwezinunua bulletproof jackets hadi wanapewa free as gifts? Wtf!😂
Hiyo ni zawadi sio msaada.
India wamejiskia kutoa zawadi wametoa ila JWTZ haikuomba msaada.
 
Ooooh huishiwi vising
Bongolala, it's not a swimming pool. Inaitwa aquatic arena. But how do I expect you to know that wakati hamna?
Oooh huishiwi visingizio.
Kwahiyi aquatic stadium kuna michanga sio mabwawa!?
Fala hili.
 
Ooooh huishiwi vising
Oooh huishiwi visingizio.
Kwahiyi aquatic stadium kuna michanga sio mabwawa!?
Fala hili.
Aquatic Stadium has an Olympic size pool which normal swimming pools doesn’t have.
Aquatic Stadium is demarcated while swimming pool isn’t.
Aquatic Stadium has spectators seats while Swimming doesn’t
 
Hehehe
FB_IMG_1715546957922.jpg
 
Wale watu wa CAFU wanaojiita footballing nation wako wapi?

Kenya has produced three outfield officials to officiate the final match.

1715548196450.jpeg
 
Ubao wa kuomba?
V.A.R room is just like any other room with Digital TV and checking outside CCTV cameras. V.A.R room inakuwa hata kwa choo.
Ndio maana hamna uwanja ambao ni CAF certified. Thinking ya kinyangaunyangau🤣🤣🤣
 
Hii battle tumewashinda so wanachokifanya ni kuharibu discussion. Hawana kitu chochote cha kutuonesha. Just imagine mtu katueleza kuhusu Ujenzi wa uwanja wao wa Taranta kila siku anarudia kitu kile kile bila hata facts zozote. Kama siyo ukichaa ni nini?

Mtu kakimbia social medias zao. Ukienda kuangalia social medias zao, wanatukanana tu. Hakuna contents zozote.
Washapoteana kwa kudanganyana 🤣🤣🤣
 
Kuna kichaa anakuambia sgr ya dizeli inaizidi speed sgr ya umeme,humu tunajaribu kuwaelewesha matahira
 
Back
Top Bottom