Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Muonekano wa Jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya la Busokelo mkoani Mbeya ambalo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameweka jiwe la Msingi, Mei 11, 2024

1715493483611.png
 
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa China Railway Construction Corporation (CRCC) na China Civili Engineering Construction (CCECC) na Balozi wa China nchini Tanzania Ndugu Chen Mingjian baada ya kumaliza mazungumzo Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar.

1715493853388.png
 
Hasira za leo are sponsored by the the diagram below. 😂 😂 😂 👇 👇

The good, bad side of Beijing's billions in Tanzania | The Citizen's billions in Tanzania | The Citizen
Mwenzako kaandika Neno tunajenga kwa hera zetu mbona Sijaona SGR humo ndani bado hajashtuka Tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
I'm dead serious, tuonyeshe hata wheelbarrow ama spade ikiwa site
Kwann afungue kiwanda huko wakati viwanda vyake vipo hapa Tanzania, nyie huko yanakuja ma trucks yakiwaletea mitungi na gesi, kiwanda cha nn wakati Tz na hapo sio mbali, huko kaingia mkataba na serikali yenu ili yeye awe ndiyo muuzaji mkuu wa gas.
images-1.jpeg
 
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa China Railway Construction Corporation (CRCC) na China Civili Engineering Construction (CCECC) na Balozi wa China nchini Tanzania Ndugu Chen Mingjian baada ya kumaliza mazungumzo Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar.

View attachment 2988564
Kwa jinsi hali ilivyo unaweza kuta majadiliano ya reli ya Zanzibar ambayo haina ushindani badala ya kumalizia hii inayojengwa!
 
Back
Top Bottom