Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuko 2024 mzee.
Hawa wanatembea na mbolea kwenye miili yao hawavai hata underwear 🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇

1715440331185.png
 
Teargas na wenzako bado sana kwenye Social Media war. Na usijaribu kuanzisha vita na Tanzania. Waulize wazungu wa South Africa wanatujua.

Nakushauri when you pick somebody to fight, choose wisely. Hii nimekupatia just simple. Jifanye kichaa, sisi ni vichaa zaidi. Tunaweza kuichafua mitandao sasa hivi na mkose pa kutokea.

Be warned 😡😡😡😡
 
Committee for US foreign affairs ndio ilimualika ahutubie speaker amekataa. Hiyo ndo kupindekeza, FYI wabunge wamesikitishwa na hilo jamboView attachment 2988099
Unakumbuka ulikuja na unajiita CoLLO kipindi kile ukafungiwa ukaja na account nyingine unajiita Collo Reborn unakumbuka?

Sasa tueleze kuhusu beach hii?

1715441267850.png
 
Back
Top Bottom