ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Naomba wote mucheke kwa sauti kubwa Sana🤣Dongo kundu has 3 bridges with a combined length of 4km.
Pure comedy ⭐⭐⭐
Naomba wote mucheke kwa sauti kubwa Sana🤣Dongo kundu has 3 bridges with a combined length of 4km.
Fala huyo, tufanye miradi mikubwa yenye thamani kuliko thamani za miradi yote inayofanyika East and central Africa alafu tushindwe kujenga uwanja? Au anafikiri sisi tunajiandaa na Afcon kwa pesa za mchina kama wao 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Contractor akipatikana hupewa muda wa kuagiza vifaa na kuvileta site kwani ni kipi wewe hujaelewa hapo? Procurement system yetu iko vizuri sana usifananishe na yenu.
Yani hata hujui tofaut ya tajiri na maskini🤣🤣 wote adhabu zao ni sawa dunianiMwaka mbaya sana kwa Wakundustan, Kila silaha yao sasa inatbelea mattercore 😂. Imagine Runda pako hivi je kajamba nani kule wapoje 😂.
Urafiki wetu na china ni mkubwa sana.
View: https://twitter.com/ikulumawasliano/status/1789300375322829044?t=B7ngwy2YNJaeOvJLYnvxfQ&s=19
I think ni Kigoma to Burundi and Congo. Kwa sababu lengo kubwa ni madini ya cobalt yaliyopo burundi na Congo.Hii ni new commuter rail in DSM and Dodoma
Acha kujiaibisha hapa shule ulikimbia nini au ulikuwa mtalii hata simple accounting hujui. Unajua types of assets kweli wewe uliza wenzako watakueleza.Assests ni Hela zenu?😂😂😂 Do you know what assets are? Or you are confusing assests with savings?😂😂
Hii ndio Assembling plant ya HOWO pekee in the region, hizo zingine ni garages. Teargas upo.? 🤣🤣🤣Na imeandikwa kabisa 🤣🤣🤣👇👇
Alaf wameumia Sana kuona kiwanda kikubwa Sana alaf ni very modern na tena Ku assemble 40 trucks a day sio mchezo mzee
View attachment 2988578
So mlikuwa mnafanya groundbreaking with no equipment ready? Typical lazy Tanzanian government😂😂Contractor akipatikana hupewa muda wa kuagiza vifaa na kuvileta site kwani ni kipi wewe hujaelewa hapo? Procurement system yetu iko vizuri sana usifananishe na yenu.
Kuna picha nyingi zinafichwa haswa za SGR yao!Mwaka mbaya sana kwa Wakundustan, Kila silaha yao sasa inatbelea mattercore 😂. Imagine Runda pako hivi je kajamba nani kule wapoje 😂.
Sidhani kama ni hivyo. China hawawezi kuwekeza kwenye kitu ambacho hakitakuwa na faida kwao.Kwa jinsi hali ilivyo unaweza kuta majadiliano ya reli ya Zanzibar ambayo haina ushindani badala ya kumalizia hii inayojengwa!
Sijawahi kuona huu ushuzi oyesterbay hata ilala sijawahi ona 🤣🤣🤣🤣
View: https://twitter.com/YOUNGEST_KOT254/status/1787421604428865582?t=i45yA8eqEY4Iiy2Qs101tg&s=19
View: https://twitter.com/udakunews_kenya/status/1787668667666235888?t=ZytTLXx4PAZ3rpTwSrjwSw&s=19
View: https://twitter.com/K24Tv/status/1787702278347956388?t=ODnncP7ETQp10CCXnpeWIw&s=19
View: https://twitter.com/kulanpost/status/1787575886889284022?t=So26J1lj429swCHARiTYqw&s=19
View: https://twitter.com/RAbdiAnalyst/status/1786691551076270256?t=zaM39mzeg-YqrAh00xdNFA&s=19
Huyo kiongozi wa China railway akitoka hapo ni Zambia so technically ni project ya tazaraKwa jinsi hali ilivyo unaweza kuta majadiliano ya reli ya Zanzibar ambayo haina ushindani badala ya kumalizia hii inayojengwa!
Naweza kuongezea kiambatisho hiki hapa ili kuwaza zaidi. Nadhani itakuwa kipande cha kutoka kigoma kwenda Burundi. Kimbuka burundi ipo na machimbo mengi sana ya cobalt.Kwa jinsi hali ilivyo unaweza kuta majadiliano ya reli ya Zanzibar ambayo haina ushindani badala ya kumalizia hii inayojengwa!
Kuna mambo mengi sana ya kufikirisha. Huenda akaelekea Congo au Burundi pia.Huyo kiongozi wa China railway akitoka hapo ni Zambia so technically ni project ya tazara
Mbona nyie mmelamba China mpaka makende na hajatoa hela ya reli from nowhere to malaba?Hua munalamba China matako sana, kumbe ni ju ya msaada. 😂 😂 😂
![]()
Yeah inaweza kuwemo kwenye agendas pia sababu alisema kuna companies nyingi zimeonesha interests kujenga SGR kwa PPP kutoka Uvinza mpaka DRC na vipande vingine hasa cha southern corridor ila tazara nayo imefanyiwa feasibility study na detail designs na preliminary analysis zote za ujenzi kuanza ilibaki tu wakubwa wakutane kazi ianze.Kuna mambo mengi sana ya kufikirisha. Huenda akaelekea Congo au Burundi pia.
Kumbuka Rais kaongea na makampuni hayo mawili ambayo yanashirikiana katika ujenzi wa Reli ya Tabora Kigoma.
Ambacho ndicho section ndefu kuliko zote. Tabora – Kigoma (Km 506) 1.81%
![]()
China lands railway contract to link Tanzania to mineral-rich DRC
Tanzania's Standard Gauge Railway (SGR) project, spanning over 2,201km, aims to connect the city of Dar es Salaam to Mwanza on Lake Victoria, as well as neighbouring countries such as Burundi, the Democratic Republic of Congo (DRC), Rwanda and Uganda.www.ntu.edu.sg
In December 2022, Tanzania entered into an agreement with China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) and China Railway Construction Corporation (CRCC) to build a section of the SGR line connecting Tabora, a mid-western city, to Kigoma on the north-eastern shores of Lake Tanganyika near the Burundi and DRC borders.
The second biggest project in Kenya after Rostam Aziz Taifa gas project since the collapse of East African CommunitySijui kama kuna mtu amepost Daily Dose ama niwachokoze. 🤣 🤣
![]()
![]()
Goat herder cum rappist 🤣🤣🤣Repist umekuja. Na account yako.
Kama sio China no Expressway, no GTC, no SGR no Talanta ambaxo ndizo zinawapa kiburi hapa.Kama sio China walai mungekua maskini kuliko Burundi. 😂 😂 😂 😂
![]()