buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,110
Tatizo lipo kwenye falsafa ya kampuni. Baada ya Boeing kuungana na MC Donnell, waliacha kutengeneza kwa ubora, walianza kupiga madenge ili kuongeza faida. Matokeo yake ndege zikaanga matatizo. Whistleblower wanaojitokeza wanauwawa, mpaka sasa wawili wameshaenda. Hili tataizo ni la miaka mingi na Al jazeera walisharusha kipindi chake miaka 9 iliyopita.
View: https://www.youtube.com/watch?v=rvkEpstd9os
Dah! Ndio maana naona Bora twende hata China maana china atajitahidi kuprove ubora.