ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
You can not defend yourself against Al Shabab unaongelea maswala ya ulinzi.
View: https://twitter.com/citizentvkenya/status/1789364066760188111?t=nKLFslmHq0c1wSLD-VX4gA&s=19
You can not defend yourself against Al Shabab unaongelea maswala ya ulinzi.
Another one in town 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View: https://twitter.com/ntvkenya/status/1789366174364369403?t=9L059UOtmxjaHuNS9wArfA&s=19
Kinyeo kinawasha Ruto katelekeza wahanga wa mafuriko kukimbilia kuhutubia Senate bila kujua Speaker wa US Senate hazimikii ufala!Hua munalamba China matako sana, kumbe ni ju ya msaada. 😂 😂 😂
![]()
From American people!Things Tanzanian Defence Forces can't do. They are done by Kenya police.
View attachment 2988250
Al-Shabab is not an army. Leta hao wavunja matofali wa kwenu waliofanya visanga juzi kwa sherehe hapo Makwapa muone mambo. Hao wenu hata parachuting hawawezi. Hilo ni jeshi!?You can not defend yourself against Al Shabab unaongelea maswala ya ulinzi.
Sasa mbona chopa ya Ogolla ilidondoka kifala? Maneno mengi vitendo zero😎Al-Shabab is not an army. Leta hao wavunja matofali wa kwenu waliofanya visanga juzi kwa sherehe hapo Makwapa muone mambo. Hao wenu hata parachuting hawawezi. Hilo ni jeshi!?
View attachment 2988324
Imebidi nirudi tena kusoma comments mara ya mwisho ilikuwa kama siku 10 zilizopita. Hii video ndo popular sasa kwenye channel yake.