buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,126
- 13,106
Ndio hivi china akaze ndio watie akili alafu Wapuuzi wanasema safety wakati wenyewe ndio wanatutolea ndege Hazieleweki.Nasikia orders za Comac C919 zimeongezeka sana. Airbus nao nilisoma mahali wanataka kuirudisha A380.