Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Angalia hii video kuanzia dakika 0-1:37. Ujionee jinsi kiwanda cha ku assemble HOWO Tz vile kinafanya shughuli zake. 👇
View: https://www.youtube.com/live/rediPOIDMsU?si=DKGdb-FQRlEXZ3FB. The one and only HOWO's Assembling plant in East Africa.

Na imeandikwa kabisa 🤣🤣🤣👇👇
Alaf wameumia Sana kuona kiwanda kikubwa Sana alaf ni very modern na tena Ku assemble 40 trucks a day sio mchezo mzee

Screenshots_2024-05-12-09-14-21.png
 
Kwann afungue kiwanda huko wakati viwanda vyake vipo hapa Tanzania, nyie huko yanakuja ma trucks yakiwaletea mitungi na gesi, kiwanda cha nn wakati Tz na hapo sio mbali, huko kaingia mkataba na serikali yenu ili yeye awe ndiyo muuzaji mkuu wa gas.View attachment 2988566
Ati kwa nini afungue kiwanda?😂😂😂 Kwani Dongo Kundu alienda kufanya nini?😂😂

After you have seen that there’s no investment done by that conman in Kenya you have now changed tune.

What you are talking about is not FDI. Ni biashara tu😂😂😂.
 
Na imeandikwa kabisa 🤣🤣🤣👇👇
Alaf wameumia Sana kuona kiwanda kikubwa Sana alaf ni very modern na tena Ku assemble 40 trucks a day sio mchezo mzee

View attachment 2988578
Mtanzania kaandika kujifurahisha nayo😂😂😂.

The first HOWO Assembly Plant in East Africa was in Kenya followed by Uganda then Rwanda. Tanzania ni bottom.
 
Mobilisation stage unataka nini zaidi. Our projects are surely going to take place sisi tuna uhakika maana hatutegemei pesa za watu.
Mobilization gani na mlishapata constructor? Ama pesa ndio hamna?😂😂
 
Mobilization gani na mlishapata constructor? Ama pesa ndio hamna?😂😂
Contractor akipatikana hupewa muda wa kuagiza vifaa na kuvileta site kwani ni kipi wewe hujaelewa hapo? Procurement system yetu iko vizuri sana usifananishe na yenu.
 
Back
Top Bottom