Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Fikeni level hizi kwanza 👇👇
20240321_201613.jpg
20240316_124444.jpg
20240205_085611.jpg
20240125_100758.jpg
20240119_212052.jpg
20240115_210824.jpg
20231216_080941.jpg
20231222_143957.jpg
20231225_141702.jpg
20240120_105451.jpg
 
Jamaa wapumbavu hawa, hivi wako serious kweli, phase II ishakamnilika ila watu wasubiri mwaka mzima ili kuanza kutumia! Ndo akili gani hii??
Kama hawawezi si watoe miundombinu kwa watu binafsi!

Hawa jamaa wajinga kweli!!
Wako kwenye mchakato wa kuwapa private operators
 
Huku ni kudhubutu kwa JPM kaka Sgr Nyerere dam,Jpm bridge,Magufuli mbezi ikulu Dom,uwanja wa ndege Dom serikali kuhamia Dom, Atcl,halafu kuna popoma anasema ni miradi ya show off hayo ni baadhi tu
Mbona yanayofanyika Sasa ni zaidi ya hayo wewe mbumbumbu
 
These are not long distance buses. Mbona unajaribu kudivert attention? These town service buses.
Town services? Nchi ya GDP kubwaa ina uchafu huo mjini? Kama yako hivyo Long distance inakuaje?

Tunajua ruti moja ya Mombasa.

Tuwekee na ruti nyingine nchi nzima. Hakikisha kila Ruti iko na Scania Touring (kama ulivyodai) kusiwe na bus ya kichina wala nganya yoyote kwa kila ruti ya Long distance kuwe na hizo chuma tu Scania Touring.

Pia tuwekee hapa nje ndani, Passengers experience, Bus terminal (usituletee ujinga wa office wakati mlikua mnasema humu mnajenga ultra modern state of art bus terminal) hata huku kuna office

Na Bus terminal ni muhimu sana in improving the overall transportation system by reducing traffic congestion and promoting sustainable mobility and overall passenger, Drive bay, Night travel (All Damn Route mpaka huko Baringo, Garissa (usituletee kisingizio cha usalama maana mna the MIGHTY KDF).
 
One pic inamlaza Nairobi yote tena horizontal pic 😅😅😅😅 na mukiambiwa Nairobi ni ndogo musikasirikie ndio maana floods IPO everywhere kwasababu mji mdogo umejikusanya sehemu moja
Hehe,,eti Nairobi yote iko hapa,,iko wapi south c, Eastleigh,, Eastlands,, Northlands,,,I know you are shocked Na vile Nairobi iko Na thousands of highrise coming up,, wait uone 5yrs to come vile itakuwa,,Wacha tu🐉🔥
 
Hizi ni za Kenya doing Kenyan routes. Tangu lini Modern Coast na Mash Poa zikawa kampuni za Uganda?
We hii kelele si ndio ile ile mliihodhi Tahmeed baada ya Kuona Bus zake zina Kenya Plate number wakati ni Mtanzania.

Hapo kubali tu na tuletee tetanus nyingine.
 
One pic inamlaza Nairobi yote tena horizontal pic 😅😅😅😅 na mukiambiwa Nairobi ni ndogo musikasirikie ndio maana floods IPO everywhere kwasababu mji mdogo umejikusanya sehemu moja
Wewe hunanga akili, dunia nzima inaweza pigwa picha moja iimalize alafu bado unadhani eneo likitoshea kwa picha moja eti ni lidogo.
 
Back
Top Bottom