Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wale wanaotutakiwa mabaya kikowapi?

1714847038673.png
 
Kwenye Swala la Rail hatufanishwi na mbwa yoyote Africa Mashariki na Kati. Angalia tu varieties ya Vifaa vya reli kuanzia Vichwa vya aina mbali mbali na mabehewa ya aina mbali mbali. Hapo tu ya mizigo bado hamjayatia machoni.

MGR tuna locomotive nyingi ikiwemo SMH Rail's H10 Series,
SGR ndio usiseme tuna hadi mabehewa Double Decker na EMU.

Sio reli tu Usafiri wa aina yoyote iwe Land Marine na Air angalia vifaa vyetu uone kama kuna Mbwa yoyote East Africa na kati anatia Pua😂

In the The best 007 Voice, GDP yetu ipo undervalued na Hakuna mbwa yoyote anatukaribia kwa vitu tulivyonavyo, Wakiwemo wakundustan na Makarai yao 😂

IMG_6386.jpeg
 
Kwenye Swala la Rail hatufanishwi na mbwa yoyote Africa Mashariki na Kati. Angalia tu varieties ya Vifaa vya reli kuanzia Vichwa vya aina mbali mbali na mahehewa ya aina mbali mbali. Hapo tu ya mizigo bado hamjayatia machoni.

MGR tuna locomotive nyingi ikiwemo SMH Rail's H10 Series,
SGR ndio usiseme tuna hadi mabehewa Double Decker na EMU.

Sio reli tu Usafiri wa aina yoyote iwe Land Marine na Air angalia vifaa vyetu uone kama kuna Mbwa yoyote East Africa na kati anatia Pua😂

In the The best 007 Voice, GDP yetu ipo undervalued na Hakuna mbwa yoyote anatukaribia kwa vitu tulivyonavyo, Wakiwemo wakundustan na Makarai yao 😂

View attachment 2980842
GDP halisi ya Tanzania ni $150b na kwa vile SGR imeshaanza kazi soon tutagonga $200b.
 
Haya makenya ndio kusema electric train zimewauma mpaka kususia battle? Sisi tuliwaambia mtaleft mdogo mdogo na kutuacha pekeetu tukipeana vitasa wakabisha, kiko wapi sasa, yn train tu wameanza kuleft, je ikifika 2025 c ndo itakuwa balaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom