Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Amekuomesha zote bus za kutoka Uganda plate number za Uganda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kenya kakosa SASA ameamua kuomba msaada Uganda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hizo ni buses za Kenya. Modern Coast ni kampuni ya Uganda? Mash ni kampuni ya Uganda?
 
Kampuni ni za Uganda ama ni za Kenya?
Hizo buses ziko Kenya ama haziko Kenya?
Jibu swali bus registered in Uganda Sisi tunatambua ni bus ya Uganda unatuambiaje ya Kenya wakat Kodi na kila kitu inatambulika Uganda we chizi nn🤣🤣🤣 bus iko kwenye system ya Uganda na inafata sheria za Uganda unatuambiaje ni ya Kenya
 
Hizo ni buses za Kenya. Modern Coast ni kampuni ya Uganda? Mash ni kampuni ya Uganda?
Hata ikiwa kampuni ya Kenya lakini bus ni ya Uganda na inatambulika kisheria ni bus kutoka Uganda zenu ziko wapi??🤣🤣🤣🤣

Au nyinyi mushazoea hii tetenus 👇👇👇
images - 2024-05-05T154212.363.jpeg

images - 2024-05-05T154401.133.jpeg

images - 2024-05-05T154436.257.jpeg
 
Kampuni ni za Uganda ama ni za Kenya?
Hizo buses ziko Kenya ama haziko Kenya?
Hzo ni bus ziko under Uganda registration na zinafahamika ni bus za Uganda kwasababu ziko kwenye system ya Uganda, na hata Kodi imelipiwa Uganda + insurance + road license etc 🤣🤣🤣🤣
 
Kenya hamna Basi nyingine? Yaani Kuna mash cool,mash poa,na modern coast,tawakal na tashriff. Hakuna ingine?🤔🚮
Kampuni ziko mingi sana. Just a sample

1714912869137.jpeg

1714912967113.jpeg

1714913070168.jpeg

1714913123999.jpeg

1714913189378.jpeg

1714913268603.jpeg

1714913348097.jpeg

1714913443402.jpeg

1714913711004.jpeg

1714913806286.jpeg

1714913896446.jpeg

1714913944247.jpeg

1714914030010.jpeg

1714914101926.jpeg

1714914167323.jpeg
 
Attachments

  • 1714913581568.jpeg
    1714913581568.jpeg
    432.2 KB · Views: 15
  • 1714912900083.jpeg
    1714912900083.jpeg
    806.3 KB · Views: 14
Hzo ni bus ziko under Uganda registration na zinafahamika ni bus za Uganda kwasababu ziko kwenye system ya Uganda, na hata Kodi imelipiwa Uganda + insurance + road license etc 🤣🤣🤣🤣
Believe what you want.
 
Hzo ni bus ziko under Uganda registration na zinafahamika ni bus za Uganda kwasababu ziko kwenye system ya Uganda, na hata Kodi imelipiwa Uganda + insurance + road license etc 🤣🤣🤣🤣
Umeona Uganda hapa?

IMG_0183.png
 
Back
Top Bottom