Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya just to remind you

Wakati tunajenga Reli, Bwawa Barabara, Madaraja, BRT na miradi mingi ya kimkakati, ambayo ni ya malengo ya miaka 100

Nyie humu mnapost magorofa ya kupangisha ambayo wengi wenu humu hamtawahi kuishi humo, kipindi Cha nyuma hapo mlikuwa mnapost express way ambayo imeprove haikuwa necessary at all.

Now mradi wenu mkubwa kabisa ni uwanja wa mpira, ambapo sisi tuna project za aina hiyo zaidi ya 5 ukiacha timu Binafsi.

Wakenya hamuoni mnatatizo la Uongozi? Uongozi wenu umekuwa unasimamia basic staff but not future of your country
 
Kuhusu Kimbunga cha Hidaya.

Nilivyoona media za kenya zimetangaza sana kuhusu kimbunga hiki. Wametangaza in negative way.

Halafu nimegundua kenya hawana mamlaka ya hali ya hewa strong. Taarifa zote wamepata kwenye mitandao baada ya Tanzania Meteorological Authority kuzitoa.

Hata majina ya vimbunga yanatolewa na Tanzania.

 
In kundustan👇👇
1713981540996.png

In Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 irizar🙏
20240422_080508.jpg
 
Rwanda wanajifanya kujitenga. Watajua hawajui.
Burundi, Congo na Uganda wanatii.
Sio kweli mkuu,Rwanda inatumia bandari ya Dar sana,haiwezi ikapita dakika 20 Lori la Rwanda halijapita,Mimi nipo Tabora ambapo malori yote ya Burundi,Rwanda, Kenya nk hupita. Rwanda tumeishawaweka mfukoni kwanini tuhangaike nao tena?
 

Napenda kuwakumbusha watu wanaoifananisha Dodoma na mtaa wa konza/tatu.

Dodoma ni mji mkubwa ambao uko under construction wakati konza na tatu city ni vimtaa… kuna konza na tatu city 200 Dodoma
 
Kuna baadhi ya vitu unaweka humu ndani, huwa nasoma post zako halafu nakupuuza. Hii sector ya usafiri na usafirishaji hapa East and Central Africa. We are the leader, period.
Who ranked you the leader? How can you be the leader with cheap, fake and ugly buses?
 
Back
Top Bottom