Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Konza has extensive storm water drains. It has been raining heavily but no flooding in Konza
Screenshot_2024-05-04-08-21-16-40_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329.jpg
Screenshot_2024-05-04-08-21-20-76_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329.jpg
Screenshot_2024-05-04-08-21-30-80_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329.jpg
Screenshot_2024-05-04-08-21-32-29_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329.jpg
Screenshot_2024-05-04-08-22-18-44_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329.jpg
Screenshot_2024-05-04-08-22-55-20_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329.jpg
Screenshot_2024-05-04-08-20-53-73_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329.jpg
 
Nimeshataja hapo Juu ila Kwa kukusaidia nakuongezea Ethiopia chini ya Queen of Sheba &Nzingambande.

Pili kwani hujui kwamba wanawake wameanza kuingia kwenye Uongozi miaka ya karibuni kutokana na sera za kuwakandamiza za mfumo dume?

Haya hapa madhara ya kufundisha mwanaume saikolojia ya kiburi๐Ÿ‘‡

View: https://twitter.com/zoomafrika1/status/1786424780381475192?t=pfU09LSsUlCjcOPNPguX0A&s=19

Mbona hueleweki mara nimeshakutajia hapo juu mara wameanza kuingia hvi karibuni which is which??๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Mzee kubali kua huna point, kwa hili umechemka
 
Kwani haziko Nairobi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
One pic inamlaza Nairobi yote tena horizontal pic ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… na mukiambiwa Nairobi ni ndogo musikasirikie ndio maana floods IPO everywhere kwasababu mji mdogo umejikusanya sehemu moja
 
Mbona hueleweki mara nimeshakutajia hapo juu mara wameanza kuingia hvi karibuni which is which??๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Mzee kubali kua huna point, kwa hili umechemka
Wewe ndio huelewi,sio wengi kama wanaume Kwa sababu kwenye Uongozi wameanza kutambulishwa miaka ya karibuni,lakini Kwa hao wachache wame prove efficiency kubwa na wewe unajua.

Tukianza hapa hapa Tanzania Samia vs Magufuli.Samia hajawahi kuwa na kashfa ya Ufisadi popote Hadi Lisu analijua hili tofauti na Mwendazake, tayari kwenye uadilifu She is way better kuliko mwingine yeyote.

Tukienda kwenye delivery ndio kabisaa ,hakuna wa kumlinganisha,kinachowahangaisha nyie walinda Ligacy ni chuki binafsi na ego za mfumo dume ila Kwa kuwa ana emotional intelligence kubwa Huwa hajibu wajinga Yuko focused na huwezi mtoa Samia kwenye reli.
Screenshot_20240504-091822.jpg
 
View: https://www.instagram.com/p/C6gmiegtcIf/?igsh=bGlqand3NjV5aWMz

๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Ushabadilisha gear angani tayari, hebu ngoja nikuache usinipotezee muda
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Ushabadilisha gear angani tayari
GIA ipi? Naendelea na mada ya Wanawake viongozi na case study ni Samia.

Hakuna GIA iliyobadilika๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Screenshot_20240504-091822.jpg
 
Wewe ndio huelewi,sio wengi kama wanaume Kwa sababu kwenye Uongozi wameanza kutambulishwa miaka ya karibuni,lakini Kwa hao wachache wame prove efficiency kubwa na wewe unajua.

Tukianza hapa hapa Tanzania Samia vs Magufuli.Samia hajawahi kuwa na kashfa ya Ufisadi popote Hadi Lisu analijua hili tofauti na Mwendazake, tayari kwenye uadilifu She is way better kuliko mwingine yeyote.

Tukienda kwenye delivery ndio kabisaa ,hakuna wa kumlinganisha,kinachowahangaisha nyie walinda Ligacy ni chuki binafsi na ego za mfumo dume ila Kwa kuwa ana emotional intelligence kubwa Huwa hajibu wajinga Yuko focused na huwezi mtoa Samia kwenye reli.
View attachment 2980381
Kwa vile awamu hii haina kashfa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… report ya CAG Tu ukipewa unaogopa hata kuibeba ina madudu makubwa haijawah kutokea toka dunia hii iumbwe

Au unataka tutaje madudu na kashfa??? Watu wanaiba pesa mpaka inaogopesha hii ndio awamu ambayo imekopa over 20trillion within 3years we huogopi??๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Na bado pesa zimeliwa na kuvurugwa Vibaya Sana,

Niliskitika kuskia ndege ya mizigo last payment watu walitengeza receipt kutoka 20m USD mpaka karibu 120m USD na tuko hapa tunachekeana mtoto wa mjomba na shangazi ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Air Tanzania ilikua na imeanza kupunguza hasara from 60b ikafika 35b 2022 SASA hvi Naskia hasara imekwenda tena juu imefika almost 57b

View: https://twitter.com/TheCitizenTz/status/1773307302767960332?t=xuMSA63JFq5PBP-oGjr-_Q&s=19

Kuna mengi usitake tuongee mzee awamu hii ndio watu wanaiba pesa hadharani na rushwa inachukuliwa bila uoga

Nimemaliza asante ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Back
Top Bottom