Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pale airport mwezi wa 3 huu air condition hazifanyi kazi and no body cares, kule juu departure wamenunua ma air condition ya chini wakati uwanja una air condition zake zile pipes za juu, ukiuliza unaambiwa eti hakuna fundi nchini wa kukarabati, sasa kama ni hivyo si wangeleta mafundi wa nje? Lkn wameenda kununua ma air condition ili mradi wapige tu, awamu hii ikiondoka alafu akaja rais mwenye uchungu atawafunga wengi sana haki ya mama.
Utakuta wameharibu makusudi kabisa ili wafanye hayo.

Nimeruka nayo anyway.



View: https://x.com/KipepeComrade/status/1786780711506112799
 
Huku ni kudhubutu kwa JPM kaka Sgr Nyerere dam,Jpm bridge,Magufuli mbezi ikulu Dom,uwanja wa ndege Dom serikali kuhamia Dom, Atcl,halafu kuna popoma anasema ni miradi ya show off hayo ni baadhi tu
Aloo yani sio poa aiseee, ukiambiwa hii ni Africa huwezi amini kabisa, watanzania tuna akili sn na uzalendo wa hali ya juu mnooo.
 
Ni mwaka na nusu sijakanyaga ardhi ya nyumbani, glad nimefika Leo, Tanga town bus terminal
20240504_170554.jpg
20240504_170547.jpg
20240504_170608.jpg
 
Aiseeee!?
1)Nani alijenga hospitali za kanda!?
-Bugando
-KCMC
-Mloganzila
2)Nani alijenga hospitali ya MOYO akapunguza gharama za kwenda nje ya nchi kutibiwa india JKCI(Jakaya Kikwete Cardiac institute)?
3)Nani aliyeleta mpango wa kuboresha huduma za hospitali za rufaa ili kupunguza rufaa muhimbili national hospital?
Nijibu hayo maswali kwanza.

Maana anachofanya Samia ni kuendeleza tu kwa kuongeza vituo vipya na vifaa tiba.
Hizo CT SCAN NA MRI na vifaa tiba vingine nani alianza kuvileta!?

Nani alijenga Benjamin Mkapa Hospital!?
Hospitali za JKCI na Mloganzila ni awamu ya Kikwete si Magufuli!
 
Back
Top Bottom