Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
A 40,000 seat Stadium coming up in Bungoma.
View: https://x.com/ntvkenya/status/1787099617068286111
View attachment 2981833
These are mega Projects currently going on in TanzaniaAlafu kuna tumbili atakuja kukuambia ati wakenya hawapendi ball😂😂.
Huko kwao fans wanakalia nyasi
![]()
Picha ya Samia ndo endorsement?Mwakinyo yule masifa yamempoteza! Kwahiyo hutaki Ramadhani brothers wapewe endorsements?
Leta projects kijana zenye value kubwa 😀 😀 😀 Unaogopa?
A 40,000 seat Stadium coming up in Bungoma.
View: https://x.com/ntvkenya/status/1787099617068286111
View attachment 2981833
Venus Star wakileta hizo project uniite bro,Mimi naenda kunywa mbege🚶🚶Leta projects kijana zenye value kubwa 😀 😀 😀 Unaogopa?
These are mega Projects currently going on in Tanzania
1. Electric SGR - $10.04B
2. East African Crude Oil Pipeline (EACOP) - $5B
3. Julius Nyerere Hydropower - $3.5B
Kabla sijaendelea hii ni total ya Mpaka hapa total is $18.54B
Tunataka wakenya walete projects zinazofikia hiyo pesa ndio tuendelee na mambo mengine.
Unaongelea viti wakati your Stadiums doesn’t even have those seats😂😂.Naona saahii hamuiti stadium zenyu international tena! 40000 seats stadium to be ready to host Madaraka day celebrations on June 1st, 2024. Labda ya stadium viti vya bar!
Leta projects kijana zenye value kubwa. Unaogopa? Hapo kenya hakuna Mega ProjectsUnaongelea viti wakati your Stadiums doesn’t even have those seats😂😂.
Stadiums in Kenya with seats.
- Kasarani
- Nyayo
- Ulinzi
- Dandora
- Bomu
- Raila Odinga
- Bhukungu
Stadiums in Tanzania with seats
- Makwapa
- Aman
Ww ni fala kweli 🤣🤣🤣🤣
Hii nayo ni Nairobi kwa wajaluo, duh😎😎
Cc: kipmeno arap kipchirchir Teargas
View: https://m.youtube.com/watch?v=OzlyueBlWF8
English hua wanaongea wakiwa wamelewa chang'aa🤣🤣🤣🤣Mbona hawaongei english?
Kwahiyo hawajalipwa na TTB?Picha ya Samia ndo endorsement?