ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 82,418
- 88,508
Nimeshataja hapo Juu ila Kwa kukusaidia nakuongezea Ethiopia chini ya Queen of Sheba &Nzingambande.Taja nchi mmoja iliongozwa na mwanamke ikafaulu moja Tu Nasubiri 😅😅😅😅😅
Pili kwani hujui kwamba wanawake wameanza kuingia kwenye Uongozi miaka ya karibuni kutokana na sera za kuwakandamiza za mfumo dume?
Haya hapa madhara ya kufundisha mwanaume saikolojia ya kiburi👇
View: https://twitter.com/zoomafrika1/status/1786424780381475192?t=pfU09LSsUlCjcOPNPguX0A&s=19