Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna Mkenya anayebisha kuhusu mafuriko. Wanaobisha ni Denial republic. Ndio maana mnashare mafuriko ya Kenya humu wakati kwenu yapo. Nakumbuka mlikua na vifo 115 wakati Kenya haijafika hata 50, sasa saa hii Wakenya vimefika 188...
Kama kawaida yenu mnapenda kuongoza kwa kila kitu, ha ha ha😎😎
 
Raha sana kuwa Mtanzania

1714722636173.png
 
Hakuna jipya apo kaka, Tanzania ni nchi inayolindwa na mizimu mikali sana, hakuna cha kimbunga wala mavi ya kimbunga, unakumbuka kimbunga kilichopita? Zilitoka pepo kutoka North zikakipiga kile kimbunga sijui jobe sijui nn kikapotelea mbali, the same applies to this, so don't worry this is the blessed country ever.
Na Ile Inshu ya Nge dah! Nikikumbuka natafakari sana Kenya na Ethiopia cha moto zilikiona ila zilipokaribia TZ kama zikayeyuka vile mpaka leo sielewi.
 
Foreigners and foreign media in Bongo are sharing the news. NASA is also sharing.

View: https://www.youtube.com/watch?v=cZDY0OLRc5A

Hizi picha za wiki mbili zilizopita Jangwani Kariakoo.
Sasa hivi hakuna mafuriko maji yamekauka na mvua zimeshakata.
Yani kwa sasa Tanzania ukiitizama kana kwamba hakukunyeesha mvua ilhali mvua imekata juzi tu hapa.
Inamaana bongo kuna mifumo mizuri ya mitaro.
 
Si huwa mnasema Tanzania hamna ubaguzi. Nini hii tena.😂😂
Ubaguzi wa Wapi, kisa stadium. Mbona kila mkoa una fail share ya Miradi, iwe masoko, barabara, bandari, meli za majini, Madaraja, Ulinzi, Usafiri, Viwanja vya Ndege, Hospital.

Kwanza mara nyingi miradi mikubwa inaangaliwa kua strategic.

Sasa Mwanza wana Daraja la mabilioni, Meli kubwa ya kisasa, Bandari inakarabatiwa, Stend Imewekwa ya kisasa hata kuliko Mbeya. Njia nne zipo mbioni barabara iliyobusy.

Same to Bukoba, Mara kuna hospital ya msoma, barabara zinazounganisha maeneo muhimu, TARIME-NYAMWAGA-NYAMONGO-MUGUMU.

Na sera ya Madini imefanya watu wa Nyamongo waanze kula mema baada ya Twiga Minerals kuingia na sheria ya Local Contractors.

Na Kanda ya Ziwa inachangia asilimia kubwa ya Jeshi la Nchi, Polisi, Magereza.

Ni kua tu kuna sehemu inapata mradi tofauti na ambao kwingine haupo na kule kwingine wanautaka inakua kurushiana maeno.

Kesho utasikia Mbeya wanataka stend, Kwingine Daraja la kisasa, hivyo kila kukicha kunakua na improvement ya ukali wa miundombinu. Ilikua Stand ya Morogoro inawika, kejeli zikaanza stand ya Dar mbona hamna, Dar Ikatandikwa kitu we unaona, Mwanza haoo,nao wakapewa kitu kikali.unaona, Dodoma hao wamepewa.

Now Arusha wanadai wameachwa wamepewa uwanja, the cycle continue uzuri. Kila sehemu haitaki unyonge.

Ila Nchi kubwa hii Miradi ya kimkakati kwanza. Hata umeme ulilalamikiwa sana kua mijini wanabagua kuliko vijijini REA hii hapa, now kelele imechange Vijijini umeme bei nafuu mjini ghali.
 
Hizi picha za wiki mbili zilizopita Jangwani Kariakoo.
Sasa hivi hakuna mafuriko maji yamekauka na mvua zimeshakata.
Yani kwa sasa Tanzania ukiitizama kana kwamba hakukunyeesha mvua ilhali mvua imekata juzi tu hapa.
Inamaana bongo kuna mifumo mizuri ya mitaro.
Hivi unadhani Kenya kukinyesha maji yanabakia kwa siku ngapi? You're very stupid.
 
Ubaguzi wa Wapi, kisa stadium. Mbona kila mkoa una fail share ya Miradi, iwe masoko, barabara, bandari, meli za majini, Madaraja, Ulinzi, Usafiri, Viwanja vya Ndege, Hospital.

Kwanza mara nyingi miradi mikubwa inaangaliwa kua strategic.

Sasa Mwanza wana Daraja la mabilioni, Meli kubwa ya kisasa, Bandari inakarabatiwa, Stend Imewekwa ya kisasa hata kuliko Mbeya. Njia nne zipo mbioni barabara iliyobusy.

Same to Bukoba, Mara kuna hospital ya msoma, barabara zinazounganisha maeneo muhimu, TARIME-NYAMWAGA-NYAMONGO-MUGUMU.

Na sera ya Madini imefanya watu wa Nyamongo waanze kula mema baada ya Twiga Minerals kuingia na sheria ya Local Contractors.

Na Kanda ya Ziwa inachangia asilimia kubwa ya Jeshi la Nchi, Polisi, Magereza.

Ni kua tu kuna sehemu inapata mradi tofauti na ambao kwingine haupo na kule kwingine wanautaka inakua kurushiana maeno.

Kesho utasikia Mbeya wanataka stend, Kwingine Daraja la kisasa, hivyo kila kukicha kunakua na improvement ya ukali wa miundombinu. Ilikua Stand ya Morogoro inawika, kejeli zikaanza stand ya Dar mbona hamna, Dar Ikatandikwa kitu we unaona, Mwanza haoo,nao wakapewa kitu kikali.unaona, Dodoma hao wamepewa.

Now Arusha wanadai wameachwa wamepewa uwanja, the cycle continue uzuri. Kila sehemu haitaki unyonge.

Ila Nchi kubwa hii Miradi ya kimkakati kwanza. Hata umeme ulilalamikiwa sana kua mijini wanabagua kuliko vijijini REA hii hapa, now kelele imechange Vijijini umeme bei nafuu mjini ghali.
Sio Mimi nimesema bro, mueleze Mtanzania mwenzako. I'm just an observer. Kawaida anayebaguliwa akilalamika wanaofaidika kwa huo ubaguzi hujaribu kumkemea. Haya Kinjekitile Jr , kazi kwako.
 
Foreigners and foreign media in Bongo are sharing the news. NASA is also sharing.

View: https://www.youtube.com/watch?v=cZDY0OLRc5A

Boss haya maji ya Jangwani mvua ikiacha after few hours yanaisha inabaki tope na debris. Ni kweli mvua zile za last week zilileta mafuriko sehemu kubwa ya Dar ila sasa hivi maji yashakauka yameenda baharini huko. Before hii ya last week pia ilikuwepo mvua ingine kubwa ikavunja hadi madaraja hapa hapa Dar na kusomba hadi magari mbona watu walishare videos? Sasa hivi kwetu mafuriko yameisha sijui huko kwenu mnaendeleaje.
 
I've been seeing this line of argument from Tanzanians a lot. Do you people think it rain once in Kenya and water remained killing people for weeks?
Alafu umesema mvua imenyesha huko kwenu ikavunja madaraja, mbona wenzako hawajaweka hizo picha humu? Mbona kila mara wanaweka za Kenya wakicheka? Yani kwako kunawaka moto yet wewe umeshughulika kuweka nyumba ya jirani ikichomeka ukimcheka wakati kwako kuko hivo hivo. Huoni huo ni ujinga?
 
Ubaguzi wa Wapi, kisa stadium. Mbona kila mkoa una fail share ya Miradi, iwe masoko, barabara, bandari, meli za majini, Madaraja, Ulinzi, Usafiri, Viwanja vya Ndege, Hospital.

Kwanza mara nyingi miradi mikubwa inaangaliwa kua strategic.

Sasa Mwanza wana Daraja la mabilioni, Meli kubwa ya kisasa, Bandari inakarabatiwa, Stend Imewekwa ya kisasa hata kuliko Mbeya. Njia nne zipo mbioni barabara iliyobusy.

Same to Bukoba, Mara kuna hospital ya msoma, barabara zinazounganisha maeneo muhimu, TARIME-NYAMWAGA-NYAMONGO-MUGUMU.

Na sera ya Madini imefanya watu wa Nyamongo waanze kula mema baada ya Twiga Minerals kuingia na sheria ya Local Contractors.

Na Kanda ya Ziwa inachangia asilimia kubwa ya Jeshi la Nchi, Polisi, Magereza.

Ni kua tu kuna sehemu inapata mradi tofauti na ambao kwingine haupo na kule kwingine wanautaka inakua kurushiana maeno.

Kesho utasikia Mbeya wanataka stend, Kwingine Daraja la kisasa, hivyo kila kukicha kunakua na improvement ya ukali wa miundombinu. Ilikua Stand ya Morogoro inawika, kejeli zikaanza stand ya Dar mbona hamna, Dar Ikatandikwa kitu we unaona, Mwanza haoo,nao wakapewa kitu kikali.unaona, Dodoma hao wamepewa.

Now Arusha wanadai wameachwa wamepewa uwanja, the cycle continue uzuri. Kila sehemu haitaki unyonge.

Ila Nchi kubwa hii Miradi ya kimkakati kwanza. Hata umeme ulilalamikiwa sana kua mijini wanabagua kuliko vijijini REA hii hapa, now kelele imechange Vijijini umeme bei nafuu mjini ghali.
Mwanza kuna Stand mbili za Mabasi

1. Nyegezi Bus Stand (Mabasi yanayotoka Dar Rwanda, Burundi nk)

1714725082706.png

2. Nyamhongolo Bus Stand (Mambasi yanayotoka Kenya, Mara na kwingine)

1714725177557.png
 
Hii Mbeya mbona ina potential sana ya utalii wa trekking, driving, na cable car, Zip line, Bicycle trek, na Kuhost mashindano ya baisikel (toure du or something).

Sio kila siku kuona wanyama.
Utalii Kwa Tzn walishakariri kwamba ni Serengeti, Ngorongo na Zanzibar ila Kuna mambo mengi ya maana ya kufanya.
 
I've been seeing this line of argument from Tanzanians a lot. Do you people think it rain once in Kenya and water remained killing people for weeks?
Alafu umesema mvua imenyesha huko kwenu ikavunja madaraja, mbona wenzako hawajaweka hizo picha humu? Mbona kila mara wanaweka za Kenya wakicheka? Yani kwako kunawaka moto yet wewe umeshughulika kuweka nyumba ya jirani ikichomeka ukimcheka wakati kwako kuko hivo hivo. Huoni huo ni ujinga?
Our responsibility ni kuwaumiza wakenya. Tunawanyoosha na usitupangie cha kuweka. Tutaweka vya kenya mpaka ulie.
 
Back
Top Bottom